Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

kesho naenda kula kitimoto kwa Mama Kamche
 
What the Fyck is this???!!!. Kesho naamka na mtori wa mbuzi. Mchana ni supu ya Kuku na Mkate wa Supa Loaf huku nikiwatazama wakatoliki wa tandahimba wa kishindia maharage. Religion is a Scam
Dhambi ujue
 
Kesho tunachinja mbuzi asubuhi sana siku nzima nakula nyama..

Hilo katazo la kutokula nyama ni la kiganga😂😂
 
We ni fala sana mimi ni mkristo na ninakula nyama siku yeyote ile sinaga mambo ya Ijumaa kuu wala ijumaa mku ndugu yako
 
Wewe utakuwa shabiki la utopolo maaana huko wenye akili wawili tu
 
Kuna mataahira yasipotukanwa basi siku yao haijaenda vyema.
 
Nipe kifungu cha biblia cha kutokula nyama au nieleweshe kwa nini hamli nyama ijumaa kuu.
 
Labda huko unakoishi mkuu. Mimi ni rc lakini huwa nakula nyama ijumaa kuu aana sijawahi Ona kifungu kwenye biblia kinazuia ulaji wa nyama siku ya leo hakipo.


Haya ni mapokeo tu tumeyapokea.

Happy Easter 🐰
 
Mpaka Zanzibar ama?!
Religious tolerance ni kitu ambacho waafrika kimetushinda kabsa! Kwarezima na Ramadhan watu hawazielewi! Vita inaanzia moyoni mwako sio vyakula! Kipindi cha Ramadhan waislamu walikataza watu kula hadharani mpaka wakristo ila je Kipindi cha Kwarezima umewahi kuona waislamu hawali chakula hadharani?
 
Dogo una Ujinga mwingi sana. Huu uzi wa hovyo sana
 
Bucha zote zilikua wazi leo na waroma wenyewe leo walikua wakila nyama vizuri tu

Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…