Nguvu ya maandamano imeisha, Serikali tafadhalini sana msituzuie kutoka nje Christmas 25D kama mlichofanya D9.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia sikukuu hiyo.

Litakuwa jambo la kusikitisha sana iwapo tutasikia serikali ikisalimu amri kwa vitisho vya baadhi ya Gen Z kwa kuogopa maandamano, na kutulazimisha kujifungia majumbani kama ilivyofanyika tarehe 9.
 
D9 hamkuzuiwa kutoka mlishauriwa tu msherekee kwa kukaa ndani kwa hiyo hata D25 ikiwapendeza mnaweza kushauriwa vyovyote vile😃
 
HATA WAKIANDAMANA UTARATIBU UNAJULIKANA KWAHIYO SIFIKIRII KAMA WATU WANABIDI KUAMBIWA CHA KUFANYA
 
Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia sikukuu hiyo.

Litakuwa jambo la kusikitisha sana iwapo tutasikia serikali ikisalimu amri kwa vitisho vya baadhi ya Gen Z kwa kuogopa maandamano, na kutulazimisha kujifungia majumbani kama ilivyofanyika tarehe 9.
Usidanganye watu. Maandamano yanafanyika kwa zamu, Gen Z wakipokezana na vyombo vya dola. Vyombo vya dola vikiandamana, Gen Z wana-chill nyumbani, and vice versa!
 
Back
Top Bottom