Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

Wanyonge ni wengi sio rahisi kuwamaliza😁
Sasa mtu miaka 6 unafanya umachinga tena kwa uhuru kabisa.

Bado maisha yako yale yale, mtaji haujakua. Hiyo ni kazi au juhudi za kubaki hai.

Kwanza hakuna machinga anafunga container China, Turkey au Dubai.

Machinga ni wachuuzi wa watu.

Inshort: Machinga ni mtaji wa both MATAJIRI na WANASIASA.

Ni suala la mtu mmoja kujielewa tu.
 
Ila nguvu ya polisi,usalama wa taifa,uhamiaji ,wakurugenzi ni bora kuliko matajiri wanaolipa kodi ambayo inawafanya hao wote walipwe mishahara yao????
 
Dalili zileeee!!!

Haipiti mwaka kila kitu kitakuwa wazi
Wale wakusema unanijua Mimi ni Nani hivi punde wataibuka, wanyonge Zama za usawa zinayeyuka mdogomdogo
 
Wewe unaandika takataka tu, mtu anakufa mara moja tu. Magufuli ameshakufa wewe subiri kifo chako.

Kutabiri sijui watakuja kumkumbuka ni kazi bure tu, kuna waliokuwa marais lakini nao walishakufa hivyo yeye sio wa kwanza na wala sio wa mwisho kufa, kila mtu atakufa kwa wakati wake.

Hivyo acheni unafiki wa kumfanya aonekane kama yeye ndiye alikuwa akiwapulizia watu oxygen, hizo ndizo ibada za sanamu alizokataa Mungu.
 
Unazo sababu za Kwa nini unaropoka tu Mzee unasahau kwamba hata wewe kifo chako kinajulikana Kwa aliyekuleta, na Kwa nini unadhani ukifa usikumbukwe na watoto zako???

Kwani wewe ni mbwa?
 
Acha kubweteka Unyonge siyo Hali ya Kujisifia. Una macho mawili, Miguu, mikono,akili, Afya,masikio bado wajiita Mnyonge? Ondokeni kwenye Barabara na njia za Watembea Kwa Miguu mijini la sivyo Sheria itakutoeni
 
Mataga mnatapatapa, hamuamini majicho yenu.
 
Amen!
 
Bado kidogo, mara sjui kuna wenye mitambo ya umeme JPM aliyokuwa ameikataa Kwa uwizi na unyonyaji wao, sasa wapo Kwa mazungumzo ya kurudi tena, pole pole tunaanza kurudi tulikokuwa!!

Mungu, mpe ujasiri Raisi wetu, hatutaki kurudi nyuma tena
 
Upo sahihi songas wanarudi kwa kasi kutaka mkataba uongezwe baada ya jpm kuondoka mana aliwahakikishia mwisho wao mkataka ukiisha, rest in peace jpm
Bado kidogo, mara sjui kuna wenye mitambo ya umeme JPM aliyokuwa ameikataa Kwa uwizi na unyonyaji wao, sasa wapo Kwa mazungumzo ya kurudi tena, pole pole tunaanza kurudi tulikokuwa!!

Mungu, mpe ujasiri Raisi wetu, hatutaki kurudi nyuma tena
 
wanyonge ilikuwa ni utapeli wa ccm mpya kuwatapeli na kufanya wananchi mandondocha na misukule,usikubali kuitwa mnyonge,kamweee!!
kama mnyonge a;pendwa angetafutiwa ajira za kueleweka na kutabirika. sio uchuuzi wa chupi!! uwekezaji kwenye kilimo, biashara au viwanda ndio namna ya kuzalisha ajira zinazotabirika....
unaita watu wamyonge huuku unawaibia cash 1 bilion kwenye viroba cash, huku unatoroshea madini yao
 
Mtahangaika sana lakini Mungu ndio hakimu wa haki , Jiwe harudi hata mfanyaje , hata muandike threads milion , wapi bye-bye marehemu Jiwe .
 
Lipi Bora, wangeendelea kumwagiwa biashara zao na migamboo ama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…