Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wanyonge ni wengi sio rahisi kuwamaliza😁Hao wanyonge siku zote, miaka yote 6 wameshindwa kujiondoa unyonge baada ya kupata mtetezi ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge ni wengi sio rahisi kuwamaliza😁Hao wanyonge siku zote, miaka yote 6 wameshindwa kujiondoa unyonge baada ya kupata mtetezi ???
Sasa mtu miaka 6 unafanya umachinga tena kwa uhuru kabisa.Wanyonge ni wengi sio rahisi kuwamaliza😁
Ila nguvu ya polisi,usalama wa taifa,uhamiaji ,wakurugenzi ni bora kuliko matajiri wanaolipa kodi ambayo inawafanya hao wote walipwe mishahara yao????Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!
Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
kama chadema na Act wazalendo siyo?Wanyonge ni wengi sio rahisi kuwamaliza😁
MazingiraNani aliwatengeneza hao wanuonge?
Unazo sababu za Kwa nini unaropoka tu Mzee unasahau kwamba hata wewe kifo chako kinajulikana Kwa aliyekuleta, na Kwa nini unadhani ukifa usikumbukwe na watoto zako???Wewe unaandika takataka tu, mtu anakufa mara moja tu. Magufuli ameshakufa wewe subiri kifo chako.
Kutabiri sijui watakuja kumkumbuka ni kazi bure tu, kuna waliokuwa marais lakini nao walishakufa hivyo yeye sio wa kwanza na wala sio wa mwisho kufa, kila mtu atakufa kwa wakati wake.
Hivyo acheni unafiki wa kumfanya aonekane kama yeye ndiye alikuwa akiwapulizia watu oxygen, hizo ndizo ibada za sanamu alizokataa Mungu.
Acha kubweteka Unyonge siyo Hali ya Kujisifia. Una macho mawili, Miguu, mikono,akili, Afya,masikio bado wajiita Mnyonge? Ondokeni kwenye Barabara na njia za Watembea Kwa Miguu mijini la sivyo Sheria itakutoeniNdiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!
Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
Stone was a curse to this Nation.Mkuu, yasipozingatiwa hayo, ninao uhakika watu watalitaja Jina la JPM huku wakilia
Wewe umebaki na siku ngapi kabla hujakufa??Stone was a curse to this Nation.
Amen!Na hiyo ndio shida aliyotuachia, alitaka kufanya kila kitu mwenyewe badala ya mfumo ndio maana tunaona bila yeye hakuna kitakachofanyika, akalazimisha tuamini hivyo na wengine mukaamini, sikatai ukali wake kuna sehemu ulisaidia lakini kuna sehemu ulivurunda, tumuombee mama ajenge mfumo mzuri wa kuwajibishana pale kwenye makosa, Nchi iende kama Nchi na sio kwa matakwa ya mtu.
Bado kidogo, mara sjui kuna wenye mitambo ya umeme JPM aliyokuwa ameikataa Kwa uwizi na unyonyaji wao, sasa wapo Kwa mazungumzo ya kurudi tena, pole pole tunaanza kurudi tulikokuwa!!
Mungu, mpe ujasiri Raisi wetu, hatutaki kurudi nyuma tena
wanyonge ilikuwa ni utapeli wa ccm mpya kuwatapeli na kufanya wananchi mandondocha na misukule,usikubali kuitwa mnyonge,kamweee!!Sasa mtu miaka 6 unafanya umachinga tena kwa uhuru kabisa.
Bado maisha yako yale yale, mtaji haujakua. Hiyo ni kazi au juhudi za kubaki hai.
Kwanza hakuna machinga anafunga container China, Turkey au Dubai.
Machinga ni wachuuzi wa watu.
Inshort: Machinga ni mtaji wa both MATAJIRI na WANASIASA.
Ni suala la mtu mmoja kujielewa tu.
Lipi Bora, wangeendelea kumwagiwa biashara zao na migamboo ama??wanyonge ilikuwa ni utapeli wa ccm mpya kuwatapeli na kufanya wananchi mandondocha na misukule,usikubali kuitwa mnyonge,kamweee!!
kama mnyonge a;pendwa angetafutiwa ajira za kueleweka na kutabirika. sio uchuuzi wa chupi!! uwekezaji kwenye kilimo, biashara au viwanda ndio namna ya kuzalisha ajira zinazotabirika....
unaita watu wamyonge huuku unawaibia cash 1 bilion kwenye viroba cash, huku unatoroshea madini yao