Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

Hakuna mjadala wamachinga wanatakiwa kytafutiwa maeneo ya kufanyia biashara sio barabara zinazojengwa na walipa kodi fullstop.

...umekuwa mmachinga miaka mi5 hujafanikiwa kubuni kitu hata ukipewa 100 hutaweza,mmachinga gani ana msingi wa milioni 5!!

[emoji3][emoji3][emoji3]

Nimecheka tu bila kutaka kucheka
 
Vile vitambulisho vipi vya wamachinga na wajasilimali vipi ? Vitaendelea kutoka !!
 
Well said brother.Umuhimu wa mtu huthibitika baada ya kufa. Waliokuwa wanashinda mitandaoni wakitukana na kudhihaki uongozi wa JPM sasa wataanza kumkumbuka kinafiki.

Uongozi ni kuwawezesha watu kwa kuwawekea miundombinu ili iwasaidie katika shughuli zao,na Magufuli alifanikiwa kwenye hilo.
JPM ana mazuri na mapungufu yake,msitake kumfanya malaika bhana!Hata huyu Mama Samia atskuwa na mazuri na mapungufu,na wakosoaji watakuwepo tu siku zote!Ndivyo maisha yalivyo!
 
Mataga jikiteni katika kumsifu huyu mpya ili aamiminike, nini hiki kutuambia kuwa HATOSHI?
 
Pombe Magufuli hajawai kumtetea mnyonge yeyote bali alitumia wanyonge kujijenga kiaiasa. Kama ni kutetea wanyonge alipaswa kuwafidia wale wananchi wa Kimara- Kibaha aliowavunjia nyumba kupisha barabara.

Angekuwa mtetezi wa wanyonge asingetumia mabilioni kujenga Chato kijijini kwao miundombinu inayostahili kuwa makao makuu ya Mkoa wa Geita. Huku watoto wa Watanzania wanasoma kwenye kwenye miti na wengine hawana madawati. Au kununua madreamliner wakati 80% ya Watanzania hawapati maji safi.

Magufuli ilikuwa ni LAANA, na Mungu ametuepushia, tujenge Tanzania yetu nzuri isiyo na ubaguzi wa kiitikadi, kikabila na kikanda.
So insightful

Watu sasa hivi wanajifanya wana mahaba yasiyo kawaida.
 
Muarabaini ni katiba mpya itakoyolinda haki za wananchi wote.
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia

Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,

Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani

Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,

Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?

Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo

Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa ndiye na kimvuli chake kutawala midomo mwa watu wanyonge

Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako

Wasalaam
 
Magufuli alihalalisha rushwa kwa kusema kuwapa rushwa trafiki ni kuwapa hela ya ku brashi viatu tu.

Rushwa kwa polisi wa trafiki ni moja ya kero kubwa sana, Magufuli aliibariki hii rushwa.

Aka roll na Rostam Aziz, na kumsifia sana huyu fisadi papa.

Acheni kusafisha historia iliyo wazi.
 
Mh.akilegea tu,tunarudi kwenye ushindani mkali wa uchaguzi Kama wa 2015.Na Sasa hivi wananchi wengi wameisha funguliwa macho na Hayati,huyu mama ataongoza kwa taabu Sana.
 
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia

Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,

Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani

Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,

Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?

Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo

Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa ndiye na kimvuli chake kutawala midomo mwa watu wanyonge

Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako

Wasalaam
Hamna kitu mzee.
Acha kuchulia ujinga. Hata iwe hvo jamaa enu saiv inside the box.

Hata mm itakua hvohvo tuu cha kujifunza ni kuishi katika yale yawapendezayo wanadam na Mungu hata kama hatujakamilika tujitahidi hvohvo ktk kutokukamilika kwetu.
 
Pombe Magufuli hajawai kumtetea mnyonge yeyote bali alitumia wanyonge kujijenga kiaiasa. Kama ni kutetea wanyonge alipaswa kuwafidia wale wananchi wa Kimara- Kibaha aliowavunjia nyumba kupisha barabara.

Angekuwa mtetezi wa wanyonge asingetumia mabilioni kujenga Chato kijijini kwao miundombinu inayostahili kuwa makao makuu ya Mkoa wa Geita. Huku watoto wa Watanzania wanasoma kwenye kwenye miti na wengine hawana madawati. Au kununua madreamliner wakati 80% ya Watanzania hawapati maji safi.

Magufuli ilikuwa ni LAANA, na Mungu ametuepushia, tujenge Tanzania yetu nzuri isiyo na ubaguzi wa kiitikadi, kikabila na kikanda.
wewe pia ni mnufaika mpaka umekaa hapa kutweet.jibga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utasema!
Licha ya mm kuwa na itikadi tofauti ya kisiasa na come lkn the late pres kna mambo
Mengine kafanya mazuri kna mambo mengi
Kipindi hiki nmefanya na nmepata mafanikio
Makubwa ndomana hata siku moja sijawahi
Muattack personally!
Siku zote nasema ubinadam kazi sana kumridhisha mwanadam inataka moyo
Na uvumilivu
Apumzike tu kwa amani

Ova
 
Hamna kitu mzee.
Acha kuchulia ujinga. Hata iwe hvo jamaa enu saiv inside the box.

Hata mm itakua hvohvo tuu cha kujifunza ni kuishi katika yale yawapendezayo wanadam na Mungu hata kama hatujakamilika tujitahidi hvohvo ktk kutokukamilika kwetu.
Mkuu, haina haja Sana iwe kufurahi ama vyovyote vile kunapotokea msiba, kwani hakuna mwenye jeuri ya kuchoropoka kwenye kifo,

Au wewe unajua utasepa lini na Kwa kifo kipi??
 
Haya unayoyaombea hapa hayana tofauti na wale waliomuombea kifo JPM...Hamna haja ya kutabiriana mabaya tumwamini mama tumuache afanye kazi...Hizi ramli za mzaha mzaha na uchungu ndo zimetung'olea jembe...Tusiliombee mabaya taifa kusudi kuwakomoa kundi fulani ambalo hamfanani nalo kiitikadi. .
 
jpm aliwatumia maskini kama ngazi ya kujitengenezea ushawishi wa kisiasa, period.

watakaomkumbuka kwa majonzi ni kile kikundi kidogo cha watu aliowapa ajira kupitia nafasi za kiuteuzi serikalini.
 
Muda utaongea ngojeni wale wa "unanijua miking nani" warudi

Ova

Hao wa unanijua mimi ni nani sasa hivi ndio wako wazi wazi. Siku za nyuma matajiri walitamka hayo hadharani kwasababu walikuwa wanawatumia viongozi kuwafanyizia watu, sasa viongozi waliotumika na matajiri ndio wamejitokeza wazi wazi. Kuanzia kupora chaguzi, kodi kandamizi, kupora mabureua de change, watu kutekwa, na kuuwawa tumeyaona wazi wazi kwenye utawala huu.

Kwa ujumla utawala uliopita ulikuwa wa mtu muovu, hiyo kutetea wanyonge ni hadaa ya mdomoni ili kuficha uharamia uliokuwa unafanyika.
 
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia

Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,

Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani

Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,

Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?

Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo

Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa ndiye na kimvuli chake kutawala midomo mwa watu wanyonge

Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako

Wasalaam
Kila kundi na wakati wake.
 
Back
Top Bottom