Hakuna mjadala wamachinga wanatakiwa kytafutiwa maeneo ya kufanyia biashara sio barabara zinazojengwa na walipa kodi fullstop.
...umekuwa mmachinga miaka mi5 hujafanikiwa kubuni kitu hata ukipewa 100 hutaweza,mmachinga gani ana msingi wa milioni 5!!
JPM ana mazuri na mapungufu yake,msitake kumfanya malaika bhana!Hata huyu Mama Samia atskuwa na mazuri na mapungufu,na wakosoaji watakuwepo tu siku zote!Ndivyo maisha yalivyo!Well said brother.Umuhimu wa mtu huthibitika baada ya kufa. Waliokuwa wanashinda mitandaoni wakitukana na kudhihaki uongozi wa JPM sasa wataanza kumkumbuka kinafiki.
Uongozi ni kuwawezesha watu kwa kuwawekea miundombinu ili iwasaidie katika shughuli zao,na Magufuli alifanikiwa kwenye hilo.
So insightfulPombe Magufuli hajawai kumtetea mnyonge yeyote bali alitumia wanyonge kujijenga kiaiasa. Kama ni kutetea wanyonge alipaswa kuwafidia wale wananchi wa Kimara- Kibaha aliowavunjia nyumba kupisha barabara.
Angekuwa mtetezi wa wanyonge asingetumia mabilioni kujenga Chato kijijini kwao miundombinu inayostahili kuwa makao makuu ya Mkoa wa Geita. Huku watoto wa Watanzania wanasoma kwenye kwenye miti na wengine hawana madawati. Au kununua madreamliner wakati 80% ya Watanzania hawapati maji safi.
Magufuli ilikuwa ni LAANA, na Mungu ametuepushia, tujenge Tanzania yetu nzuri isiyo na ubaguzi wa kiitikadi, kikabila na kikanda.
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa ndiye na kimvuli chake kutawala midomo mwa watu wanyonge
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
Magufuli alihalalisha rushwa kwa kusema kuwapa rushwa trafiki ni kuwapa hela ya ku brashi viatu tu.Ndiyo!

Hamna kitu mzee.Ndiyo!

wewe pia ni mnufaika mpaka umekaa hapa kutweet.jibga wewePombe Magufuli hajawai kumtetea mnyonge yeyote bali alitumia wanyonge kujijenga kiaiasa. Kama ni kutetea wanyonge alipaswa kuwafidia wale wananchi wa Kimara- Kibaha aliowavunjia nyumba kupisha barabara.
Angekuwa mtetezi wa wanyonge asingetumia mabilioni kujenga Chato kijijini kwao miundombinu inayostahili kuwa makao makuu ya Mkoa wa Geita. Huku watoto wa Watanzania wanasoma kwenye kwenye miti na wengine hawana madawati. Au kununua madreamliner wakati 80% ya Watanzania hawapati maji safi.
Magufuli ilikuwa ni LAANA, na Mungu ametuepushia, tujenge Tanzania yetu nzuri isiyo na ubaguzi wa kiitikadi, kikabila na kikanda.
Licha ya mm kuwa na itikadi tofauti ya kisiasa na come lkn the late pres kna mamboMuda utasema!
Mkuu, haina haja Sana iwe kufurahi ama vyovyote vile kunapotokea msiba, kwani hakuna mwenye jeuri ya kuchoropoka kwenye kifo,Hamna kitu mzee.
Acha kuchulia ujinga. Hata iwe hvo jamaa enu saiv inside the box.
Hata mm itakua hvohvo tuu cha kujifunza ni kuishi katika yale yawapendezayo wanadam na Mungu hata kama hatujakamilika tujitahidi hvohvo ktk kutokukamilika kwetu.
Jana watu wamepiga kontena tatu za futi 20.Muda utaongea ngojeni wale wa "unanijua miking nani" warudi
Ova
Aaah wapi labda wanufaika wa upigaji kama nyie.lkn ni neema tele tu.
Waislamu awajawahi tulaza njaa soma historia
Muda utaongea ngojeni wale wa "unanijua miking nani" warudi

Kila kundi na wakati wake.Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa ndiye na kimvuli chake kutawala midomo mwa watu wanyonge
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
Duh....ipo siku watu watamkumbukaJana watu wamepiga kontena tatu za futi 20.
Hata mzee baba ajazikwa wapigaji washaanza yao"kudadeki"