Moto ni ule ule,labda wajipange 2025 kuweka watu waoNdiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!
Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
Hoja ya kitoto hii mkuu, hujanishawishiTofauti ni kwamba matajiri wataendelea kula nchi,kipindi Cha Maghu sio kwamba matajiri au wapiga deal hawakuwepo,walikuwepo sana wale wa upande wa Maghu na maswaiba zake.
Maghu alizuia watu wa upande wa Kikwete wasile nchi,watu wa kanda ya ziwa ndio waliokula nchi sana kipindi hiki Cha miaka 5.
Pole kwa msibaumewaza kipumbavu sana,tathmini umri wako na mawazo uliyotoa kisha kajifungie chumbani peke yako uanze kumlilia Mungu wako.
Asante...upo na Kvant ya ngapi hadi leo.Pole kwa msiba
Wanajisifia ujingaWajinga sana hawa. Mimi hata Kama Sina shilling mfukoni huwezi kuniita mnyonge nikakuacha.
Kweli una majonzi.Asante...upo na Kvant ya ngapi hadi leo.
Inabidi wafanye iwepo magufuli dayAmbae haamini ni yule asiyekubali kwamba Samia Suluhu Hassan ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi
Not only my best...but he was many peoples choice..oh kumbe your best. thats okay
Muabuduni sasa maana kila siku ni propaganda za magufuli toka aingie atuoneshe mnyonge aliyemsaidia akawa bilionea au milioneaNdiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,
Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani
Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,
Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?
Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo
Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!
Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao
Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako
Wasalaam
Mwanga akishakujambia usiku,sorry but i quote "Huyo ndy my best tanzanian president of all times..
Sasa kama na wewe unaye the best pia ni nafasi yako kumsifia.
Kwa utashi wako."
so is your best or peoples best?
because si wote wanakuja kwenye msiba wanakupenda. even wachawi.. wanafki nao wanakuja kuhakikisha kuwa ni ww kweli.
Wewe mbona hukwenda?
Hata Mimi nasubilia jibu lake aiseeYepi aliharibu?
Na Mungu akiwa ndie kiongozi wake, hakutaharibika kituMh. Samia atapambana bado tuna imani naye