Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia

Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,

Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani

Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,

Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?

Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo

Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!

Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao

Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako

Wasalaam
Moto ni ule ule,labda wajipange 2025 kuweka watu wao
 
Tofauti ni kwamba matajiri wataendelea kula nchi,kipindi Cha Maghu sio kwamba matajiri au wapiga deal hawakuwepo,walikuwepo sana wale wa upande wa Maghu na maswaiba zake.
Maghu alizuia watu wa upande wa Kikwete wasile nchi,watu wa kanda ya ziwa ndio waliokula nchi sana kipindi hiki Cha miaka 5.
Hoja ya kitoto hii mkuu, hujanishawishi
 
Utitiri wa Kodi na Kodi kandamizi zifutwe
Tuwe wakali mtu au Chama fulani kinapotuita "Wanyonge" Hilo ni neno baya sana
 
Ambae haamini ni yule asiyekubali kwamba Samia Suluhu Hassan ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi
Inabidi wafanye iwepo magufuli day

Ova
 
Kwahiyo sio wapinzani ndio walikua wakikwamisha maendeleo tena?

Halafu statement ya unyonge mimi sikubaliani nayo hata chembe hata maandiko yanakataza unyonge!

Pia hao matajiri wanaopigwa vita ndio ulitokea mdororo wa sekta binafsi...

Kwa sera zipi hizo nchi ilianza kupotea kwenye ramani ya uwekezaji wageni wanafunga biashara na kurudi kwao...

Mwisho niseme alilikuta deni la taifa na ameondoka limeongezeka so laiti kama angeweza kulishusha mimi ningesema siwezi kumpinga ila kwa sera zake nyingi alichemka just a one man show
 
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia

Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye maeneo Yao ya kazi aliyokuwa amewaruhusu Jembe Lao JPM R.I.P kufanyia biashara zao,

Ndipo sauti zao na Kwa uchungu mkubwa zitasikika, wakimlilia Kwa upya tena JPM na Jina lake litatawala Kwa upya kwenye vyombo mbalimbali za habari kote Tanzania na hata duniani

Pale majambazi ya kupora muda wowote asubuhi mchana na Wakati wowote yatakapojitokeza, iwapo Serikali hii haitasimama Kiume, sauti za wananchi wengi watakapoanza kumlilia JPM Kwa upya, na watu watasema ni Bora alipokuwepo Jembe haya yalikoma,

Pale matajiri wakubwa watakapoizidi serikali ujanja aidha Kwa rushwa Ili wasilipe Kodi, na Kodi nyingi kuelekezwa Kwa wafanya biashara wadogo wadogo, watu hawa wataanza kumlilia upya Jembe lao, watasema, ni Kwa sababu hayupo JPM ndio Maana wananyanyaswa?

Ingawa Nina Imani kuuubwa Sana na Raisi wetu Madame SHS, kwamba ni jemedali na jasiri asiyeogopa na asiyerudishwa nyuma, Kwa kuwa pia ufanisi wa serikali hii Naamini ni Kwa sababu mama alisimama nyuma yake kuhakikisha tunakuwa hapa tulipo

Mbali na hayo, Sisi ni binadamu tunaweza kujisahau yakarudi hayo na yakawa sababu ya Jina la Jembe kutajwa kila pahala kuwa yeye alikuwa mwanvuli wa watu wa Chini na kujikuta Jina lake likitawala fikra zao na hata kutajwa Sana Kwa mema hayo kwenye midomo ya watu wanyonge!

Hayo yasipozingatiwa yataibua vilio vya watu hao

Mh Raisi Madame Samia suluhu Hasan Tunakuombea, kwani tunajua ilivyongumu kuongoza nchi bila ya Mungu Kusimama Mbele yako

Wasalaam
Muabuduni sasa maana kila siku ni propaganda za magufuli toka aingie atuoneshe mnyonge aliyemsaidia akawa bilionea au milionea
 
Watu waliovunja mageti uwanja wa ndege JNA ndio watakaolia mara nyingine ikiwa yataachwa mambo yajiendee
 
sorry but i quote "Huyo ndy my best tanzanian president of all times..
Sasa kama na wewe unaye the best pia ni nafasi yako kumsifia.
Kwa utashi wako."

so is your best or peoples best?

because si wote wanakuja kwenye msiba wanakupenda. even wachawi.. wanafki nao wanakuja kuhakikisha kuwa ni ww kweli.
Mwanga akishakujambia usiku,
Mchana hana shida na wewe

Tatizo lenu mnabadilika kama vinyonga.
Kila siku na hoja mpya

Siku ya kwanza ya maombolezo mlisema kakosa watu.

Leo mafuriko hadi uwanja wa ndege mmebadilika tena ,,,

--Mnasema
hata wachawi walikuwepo.
Mbona wewe hukwenda?

a traitor is always a traitor

Hakuna alichokipata Judas Iscariot zaidi ya majuto.
 
Back
Top Bottom