Nguvu ya mfumo!
Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani!
Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!!
Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi!
Ni binadamu wachache sana waliowahi kufanikiwa kufanya tofauti na mfumo! Lakini waliowengi Humezwa na MFUMO!
Mfumo unafanana na nini?
MFUMO wa kisiasa ni kama vazi maalum ambalo kila anayeingia hulazimika kuvaa! MFUMO Ni kama MVINYO ambapo hata ukiweka kwenye chupa ya maziwa utabaki na ALCOHOLIC ileile!
MFUMO wa kisiasa ni kama control room ambapo kila anaeingia hata kama yupo kinyume atalazimika kubonyeza vitufe vilivyopo!
MFUMO wa kisiasa ni kama chumba chenye AC, ambapo kila anaeingia na jasho hupozwa na kusahau hali ya inje!
Kwasababu hiyo!
IKULU HATA RAIS AKIWA NG'OMBE TUTASONGA KWA MFUMO!
Kama mnataka mabadiliko ya kweli FUMUENI MFUMO KWANZA!

- Ndiyo maana traffic polisi akili zao zinafana kwasababu ya Mfumo!
- Boda wote akili zao zinafanana!
- Bamedi wote akili zao zinafanana
- Majambazi ote akili zao zinafanana.
- Wana CCM wote akili zao zinafanana etc
IKULU HATA RAIS AKIWA NG'OMBE TUTASONGA KWA MFUMO!
Kama mnataka mabadiliko ya kweli FUMUENI MFUMO KWANZA!
- MFUMO uliopo sasa una mfanya kiongozi aishi kama Malaika!
- MFUMO uliopo sasa kiongozi hata akiiba mabilioni Ya fedha hakuna cha kumfanya zaidi ya kumuita FISADI basi
- MFUMO uliopo sasa kiongozi anaweza kudalalia manunuzi ya madege kwa bei kubwa na hakuna wa kumhoji
- MFUMO uliopo sasa kiongozi hawajibiki kuishi kwa kufuata sheria.
- MFUMO uliopo sasa pensheni na mafao ya viongozi wanalipana wao mapema kuliko Yale ya wanainchi.
- MFUMO uliopo sasa kiongozi halazimiki kufuata sheria Bali sheria inamfuata kiongozi!