babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Mda ndio utasema...manake nyinyi kw uchawi tu...mpka ma star wanarogana...itakuja kw uchaguzi
Kazi ya serikali ni kuhakikisha kila mtu anao uwezo wa kupata chakula, ni aibu kusikia kila mwaka mnapewa chakula cha msaada, kwanini serikali yenu inapokea hicho chakula, kwanini wasiseme sio jukumu la serikali kuwapatia watu chakula?. Mnatutia aibu kwa kufa kwa njaa kila mwaka, na kusaidiwa chakula.Lini ccm iliwanunulia chakula kule kwenu usukumani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ninyi kwa kubaguana kwa ukabila, mnaongoza AfricaMda ndio utasema...manake nyinyi kw uchawi tu...mpka ma star wanarogana...itakuja kw uchaguzi
aliyekwambia kiswahili kinatokana na makabila ya bongo nani? kiswahili asili yake ni pwani ya afrika mashariki kuanzia kenya hadi sofala msumbiji, hivyo kiswahili pia kenya ni nyumbani, tena mombasa na wakenya wasomi wanazungumza kiswahili kizuri kuliko sisi
Hawa hapa mido inikamu
[emoji2] [emoji3] [emoji1] inabidi tukazane, tuongeza watoto. Zanzibar ni nje ya ndoa.Tanzania Ni Baba wa East Afrika Kenya Mke Mkubwa,Unganda Mke Mdogo,Burundi Na Rwanda Watoto Wetu
Mda ndio utasema...manake nyinyi kw uchawi tu...mpka ma star wanarogana...itakuja kw uchaguzi
Ndio maana tukikohoa mnaitika,
Tukigoma kuwauzia mahindi mnakuja huku mmepiga magoti.
Hapo umevimbiwa baada ya mchemsho wa albino.Endelea kufurahia matatizo ya ndugu zako.
Hawa hapa middle class wa dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1194967
Unajiingiza kidole m*takoni na kucheka mwenyewe. Wacha kujisifu, ngoja usifiweNashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano
1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo
2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania
3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi
4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya
5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia
6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko
7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote
8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania
Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi
Kama unapesa kwel unaweza kupambana na ukame ila kama data za US ndio hivyo tena unabaki kulia lia tu na mvuaKiangazi hauwezi kukizuia hata kwa pesa, ungepata elimu hata ya primary, labda ungelijua hilo.
Wasikusumbue hao mbu mbu mbu ,Kenya hamna wachawi na hiyo nchi gani au duniani kuna Kenya mbili?.Hata kenya pia kuna uchawi hata mabwana zenu wazungu pia wana uchawi,
Endelea kusubiri, wacha nikuignoo tu.
Mumemuona mkenya mwenzenu akiwa anawajibika kuwanga mishipa ya shingo imemsimama au mnajifanya mmekua mabubu ghafla?.Wasikusumbue hao mbu mbu mbu ,Kenya hamna wachawi na hiyo nchi gani au duniani kuna Kenya mbili?.View attachment 1195077
Aibu sana, ikumbukwe ndege bado.
Wale night runners ni gospel preachers??
Unasema Kenya hamnaga wachawi, una akili kweli wewe!!?
Na ninyi kwa kubaguana kwa ukabila, mnaongoza Africa
Kazi ya serikali ni kuhakikisha kila mtu anao uwezo wa kupata chakula, ni aibu kusikia kila mwaka mnapewa chakula cha msaada, kwanini serikali yenu inapokea hicho chakula, kwanini wasiseme sio jukumu la serikali kuwapatia watu chakula?. Mnatutia aibu kwa kufa kwa njaa kila mwaka, na kusaidiwa chakula.
Hata kenya pia kuna uchawi hata mabwana zenu wazungu pia wana uchawi,
Endelea kusubiri, wacha nikuignoo tu.