NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano

1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo

2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania

3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi

4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya

5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia

6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko

7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote

8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania

Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi
aliyekwambia kiswahili kinatokana na makabila ya bongo nani? kiswahili asili yake ni pwani ya afrika mashariki kuanzia kenya hadi sofala msumbiji, hivyo kiswahili pia kenya ni nyumbani, tena mombasa na wakenya wasomi wanazungumza kiswahili kizuri kuliko sisi
 
We msukuma na kiswahili wapi na wapi....kiswahili waachie watu wa pwani bwana...yani kwanza hakikuhusu kabisa...

Kwanza katika kiswahili unafikiria unaweza kuta neno la kisukuma hata moja..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hiyo Jambo au hakuna matata c kiswahili cha kizungu kizingu kutokana hawajui kutamka maneno sahihi ndo yakatokea hayo maneno sio kama eti wameanzisha wakenya neno Jambo linatokana na neno Ujambo maana yake unamtolea mtu salam sasa mzungu ndo kiswahili kinamsumbua ndio akatamka Jambo. Pia Kenya kutangazika ktk Google kuhusu kiswahili ni sawa na kutangazika Us English ktk software chaguo namba moja unaambiwa Us English namba mbili ndio UK English ila ufundi wote wa English unapatikana UK.
 
Uchumi mkubwa upo wapi?, hayo ni makelele ya wakenya hujayazoea?. Hivi mtu mwenye uchumi mkubwa anashindwaje kufanya miradi yake bila kukopa?, na hiyo mikopo inamshinda kulipa hadi akakope tena alipe mkopo wa nyuma?. Achana na wakenya aisee, hao ni watu wa kujisifu na kujionyesha.
Hapo hapana,,tukubali tusikubali,,,tutake tusitake,,uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wetu Tanzania,,wewe angalia tuu bajeti yao ya mwaka linganisha na yetu jiulize kwa nini ni kubwa hivyo
 
We msukuma na kiswahili wapi na wapi....kiswahili waachie watu wa pwani bwana...yani kwanza hakikuhusu kabisa...

Kwanza katika kiswahili unafikiria unaweza kuta neno la kisukuma hata moja..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya lugha yenu kuu English chaguo la pili ndio Swahili TZ ya kwanza Swahili English mpaka uende shule
 
Nyie ndio wale mnajisifia mna pesa alafu wananchi wako wanateseka na njaa

Hapo hapana,,tukubali tusikubali,,,tutake tusitake,,uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wetu Tanzania,,wewe angalia tuu bajeti yao ya mwaka linganisha na yetu jiulize kwa nini ni kubwa hivyo
 
Nitakujibu machache, mengine nitayaacha maana umeyaweka kishabiki, huna ukweli wowote kuyahusu, ni yale yale mnapenda kuambiana kijiweni.

Kwanza kabisa, lugha ya Kiswahili ilibuniwa kwenye Pwani ya Kenya, hivyo huju chochote unaposema ilitengenezwa na makabila ya Kibongo, hao wote walidakia tu, leo Msukuma anasema Kiswahli ndio lugha yake ya asili.

Kuhusu Jaguar, ilibidi Kenya iijibu Tanzania maana Watanzania ndio walilialia sana kuliko mataifa mengine yaliyotajwa, fuatailia vizuri utakuta bunge Jaguar alijadiliwa hadi na bunge lenu, hadi waziri mkuu wenu akalazimika kutolea tamko, yaani makelele mliyopiga hapakua na jinsi ilibidi mjibiwe na kuondolew wasiwasi kwamba hayo yalikua matamshi ya mtu binafsi na sio sera za Kenya.

Vifaranga mlichoma vya Mtanzania mwenzenu, alikua akanunua pesa taslimu hivyo mlimuingiza hasara kwa hasira za kijinga. Tulikua tunataja taja tu maana ni wazi mlivichoma kisa vimetokea Kenya. Lakini hatuna sababu za kulipiza kisasi, ni mali ya Mtanzania hivyo mtajuana wenyewe huko mnakohujumiana kwa ujinga na chuki.

Kuhusu kukwama kwa EAC, Tanzania hutajwa maana ndio imechelewesha n kununia kila kitu, tatizo wanachama wote waliwekeana sheria kwamba hamna azimio hta moja itaruhusiwa kusonga mbele iwapo nchi moja itanuna, hivyo hiyo huipa jeuri Tanzania maana hata tukitaka kufanya chochote, hakiruhusiwi lazima kila mwanachama aridhie, tunalazimika kuiburuza Tanzania.

Tembelea Kenya siku moja ukifaulu kupata nauli, utashangaa sana kukuta hamna sehemu Tanzania hutajwa, labda Wakenya ambao huskliza nyimbo zenu, na kuna wengi huwa hawajali kuhusu utaifa wa msanii kwenye hizo nyimbo, maana tunaskliza nyimbo hata za lingala bila kuijadili DRC. Wakenya wachache ambao huitaja Tanzania ni sisi tuliopo humu JF kwa sababu humu mpo kila siku mkiponda kila nzuri tunayobandika kuhusu Kenya, hivyo ili kujibu mapigo utakuta Mkenya wa humu atajaribu kujua issue ya Tanzania ili aitumie kujibu mashambulizi yenu dhidi ya mazuri ya Kenya.
Lakini kwa Mkenya ambaye haijui JF, wala hana muda na Tanzania.

Mkenya wa kawaida ukimuuliza kuhusu Tanzania, taswira iliyopo ni
- Nchi iliyojaa washirikina
- Nchi ambayo albino huliwa kama chakula
- Nchi ya wazembe ambao wamejawa na umaskini hadi omba omba wao wanazingua Kenya balaa
- Nchi ambayo waganga wa kienyeji wapo kila kona
- Nchi ambayo ushirikina unatambuliwa na kupokelewa hadi serikalini, mfano kikombe cha babu kilipigiwa debe na serikali

Kwa hivyo hamna chochote cha maana Tanzania ambacho Mkenya wa kawaida atapoteza muda nacho.

Biashara tunafanya na Tanzania kama majirani, maana ndio nchi ambayo tumepakana kwenye mpaka mrefu zaidi ya mipaka yote, ndio nchi ambayo tunachangia makabila kuliko majirani zetu wote, hivyo kwa namna moja au nyingine lazima tujikute tunahusiana, lakini ikumbukwe kuna miaka huo mpaka ulifungwa na kila mmoja aliishi bila kumtegemea mwenzie.
 
Au taja Nchi moja duniani ambayo lugha yake kuu ni kiswahili. kwa jinsi mlivyokua na mawazo ya kitumwa mnatamani mujibu marekani hapo ila ndo hivyo tu ukweli unawabana[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Pumba tupu kama kawaida

How about this, tusemeje
13 counties.

We'd rather die of hunger than eat albinos.

tz.JPG
 
Ati eat nn [emoji23][emoji23][emoji23], Keep talking about past news ambazo tulishazisahau muda sana,
Wakati counties 13 zinateseka kunyaland kwa sababu ya kukosa chakula saa hizi.

Hehehe!! Halafu hizi taarifa ambazo naona kama ndio kiki uliyobaki nayo inafaa ikuingie kwamba ni kuhusu kiangazi, kwamba kiangazi sio kitu ambacho tuna uwezo nacho ila cha msingi ni kwamba tunanunua chakula na kuwapelekea ndugu zetu, hela tunazo, tunanunua kutoka kwa maskini kama nyie na kuwalisha watu wetu.
 
Pesa mtoe wapi,
Mngekuwa na pesa tusinge sikia taarifa mbaya kama hizi,
Subirini msaada kutoka UAE na China,
Ukweli mchungu.

Masikini lakini huwezi sikia wakiteseka na njaa,
Hakuna matukio kama hayo, endeleeni kuyaandika ili mpotoshe wakumbafu wenzenu,
Ukiwa na njaa hata uwezo wa kufikiri unapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Inasikitisha sana, halafu ni taarifa za mwaka huu, hawa watu ni wakatili kupita maelezo, roho ngumu na nyeusi, ndio maana wapo maskini hadi leo licha ya kuwa na nchi yenye kila kitu.
 
Pesa mtoe wapi,
Mngekuwa na pesa tusinge sikia taarifa mbaya kama hizi,
Subirini msaada kutoka UAE na China,
Ukweli mchungu.

Kiangazi hauwezi kukizuia hata kwa pesa, ungepata elimu hata ya primary, labda ungelijua hilo.
 
Back
Top Bottom