Nitakujibu machache, mengine nitayaacha maana umeyaweka kishabiki, huna ukweli wowote kuyahusu, ni yale yale mnapenda kuambiana kijiweni.
Kwanza kabisa, lugha ya Kiswahili ilibuniwa kwenye Pwani ya Kenya, hivyo huju chochote unaposema ilitengenezwa na makabila ya Kibongo, hao wote walidakia tu, leo Msukuma anasema Kiswahli ndio lugha yake ya asili.
Kuhusu Jaguar, ilibidi Kenya iijibu Tanzania maana Watanzania ndio walilialia sana kuliko mataifa mengine yaliyotajwa, fuatailia vizuri utakuta bunge Jaguar alijadiliwa hadi na bunge lenu, hadi waziri mkuu wenu akalazimika kutolea tamko, yaani makelele mliyopiga hapakua na jinsi ilibidi mjibiwe na kuondolew wasiwasi kwamba hayo yalikua matamshi ya mtu binafsi na sio sera za Kenya.
Vifaranga mlichoma vya Mtanzania mwenzenu, alikua akanunua pesa taslimu hivyo mlimuingiza hasara kwa hasira za kijinga. Tulikua tunataja taja tu maana ni wazi mlivichoma kisa vimetokea Kenya. Lakini hatuna sababu za kulipiza kisasi, ni mali ya Mtanzania hivyo mtajuana wenyewe huko mnakohujumiana kwa ujinga na chuki.
Kuhusu kukwama kwa EAC, Tanzania hutajwa maana ndio imechelewesha n kununia kila kitu, tatizo wanachama wote waliwekeana sheria kwamba hamna azimio hta moja itaruhusiwa kusonga mbele iwapo nchi moja itanuna, hivyo hiyo huipa jeuri Tanzania maana hata tukitaka kufanya chochote, hakiruhusiwi lazima kila mwanachama aridhie, tunalazimika kuiburuza Tanzania.
Tembelea Kenya siku moja ukifaulu kupata nauli, utashangaa sana kukuta hamna sehemu Tanzania hutajwa, labda Wakenya ambao huskliza nyimbo zenu, na kuna wengi huwa hawajali kuhusu utaifa wa msanii kwenye hizo nyimbo, maana tunaskliza nyimbo hata za lingala bila kuijadili DRC. Wakenya wachache ambao huitaja Tanzania ni sisi tuliopo humu JF kwa sababu humu mpo kila siku mkiponda kila nzuri tunayobandika kuhusu Kenya, hivyo ili kujibu mapigo utakuta Mkenya wa humu atajaribu kujua issue ya Tanzania ili aitumie kujibu mashambulizi yenu dhidi ya mazuri ya Kenya.
Lakini kwa Mkenya ambaye haijui JF, wala hana muda na Tanzania.
Mkenya wa kawaida ukimuuliza kuhusu Tanzania, taswira iliyopo ni
- Nchi iliyojaa washirikina
- Nchi ambayo albino huliwa kama chakula
- Nchi ya wazembe ambao wamejawa na umaskini hadi omba omba wao wanazingua Kenya balaa
- Nchi ambayo waganga wa kienyeji wapo kila kona
- Nchi ambayo ushirikina unatambuliwa na kupokelewa hadi serikalini, mfano kikombe cha babu kilipigiwa debe na serikali
Kwa hivyo hamna chochote cha maana Tanzania ambacho Mkenya wa kawaida atapoteza muda nacho.
Biashara tunafanya na Tanzania kama majirani, maana ndio nchi ambayo tumepakana kwenye mpaka mrefu zaidi ya mipaka yote, ndio nchi ambayo tunachangia makabila kuliko majirani zetu wote, hivyo kwa namna moja au nyingine lazima tujikute tunahusiana, lakini ikumbukwe kuna miaka huo mpaka ulifungwa na kila mmoja aliishi bila kumtegemea mwenzie.