NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

nimejifunza.!!

udhaniao ni wakenya sio,hao ni wabongo;na pia udhaniao ni wabongo Kumbe sio;hao ni wakenya.

ni virce verse.!!

usihukumu nawe usije hukumiwa
 
Na ninyi kwa kubaguana kwa ukabila, mnaongoza Africa
Wewe unatakiwa ufanye skin bleaching kabisa ndio watanzania wenzako wakuone wewe ni albino wakuchinje na roho yako mbaya.Nyie mnaongoza dunia yote kwa kutafuna albinos.
 
Hata kenya pia kuna uchawi hata mabwana zenu wazungu pia wana uchawi,
Endelea kusubiri, wacha nikuignoo tu.
Tanzania yote ni kama stadium ya michezo ya uchawi huko uchawi upo kila kona . Kenya sijawahi kusikia ati uchawi upo central Kenya, pande zote za wamaasai ,north eastern hakuna,Turkana haipo na kwingineko kama Meru na Isiolo.
 
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano

1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo

2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania

3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi

4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya

5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia

6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko

7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote

8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania

Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi
Mnatawala kwa mambo ya kijinga hivi nyie Tanzania?

Kenya inatawala kiuchumi ,
Kimichezo ya kimataifa ,
Mawasiliano na Mtandao .
Biashara za kimataifa.
Usafiri wa angani
Uwanja wa ndega mkubwa zaidi.
Makao makuu ya kimataifa
MaKampuni kubwa zaidi .
Nguvu zaidi za umeme.
Bandari bora na kubwa zaidi.
Bajeti kubwa zaidi .
Vifaa zaidi vya kijeshi.
...na mengine mengi .
 
4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya
Itakuwa umetoka kwa ngariba kutiwa sunna asubuhi ya leo wewe deecarter
Wanasiasa wenu hatuwajui ilhali nyie mnajua hadi mawaziri wa Kenya. Mna makamu wa rais kweli? Mke na watoto wa magufuli hawajulikani, pengine wanamuziki wenu pekee hususan WCB members
Bahati mbaya sana tunawajua Uhuru, Rutto na Raila sasa wewe unayesema eti tunawajua hadi mawaziri sijui hizo takwimu unazitoa wapi!
 
Wewe unatakiwa ufanye skin bleaching kabisa ndio watanzania wenzako wakuone wewe ni albino wakuchinje na roho yako mbaya.Nyie mnaongoza dunia yote kwa kutafuna albinos.
Hahahaha, kila uchaguzi mnawachinja wajaluo, nyama mnasambaza Turkana kupunguza njaa, stupid Kunyans. Dunia ya Leo bado mnaendekeza ukabila.
 
Tanzania yote ni kama stadium ya michezo ya uchawi huko uchawi upo kila kona . Kenya sijawahi kusikia ati uchawi upo central Kenya, pande zote za wamaasai ,north eastern hakuna,Turkana haipo na kwingineko kama Meru na Isiolo.
Uchawi ni pamoja na kufa njaa na kupata kwashakoo huku asilimia 80 ya ardhi ikimilikiwa na mabwanyenye weusi!
 
Najua waTz wanakipenda Kiswahili but utapata mskuma akisema kiswahili ni lugha ya Tz si ya kenya yet pwani kenya kuna waswahili wenyewe. Their L1 language
Nikupe siri kwa nini pwani ya Kenya wanaongea kiswahili kizuri ?.kwasababu kuna muingiliano mkubwa na watu wa tanga na Zanzibar hivi ujiulizi kwa nini Kenya kiswahili kizuri kinapatikana Mombasa na sio Nairobi ambalo ndio jiji kuu lakini TANZANIA utakipata kiswahili kizuri Nchi nzima kuanzia DSM . ukitumia akili utajua ukwel
 
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano

1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo

2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania

3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi

4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya

5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia

6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko

7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote

8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania

Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi

Uchumi mkubwa upo wapi?, hayo ni makelele ya wakenya hujayazoea?. Hivi mtu mwenye uchumi mkubwa anashindwaje kufanya miradi yake bila kukopa?, na hiyo mikopo inamshinda kulipa hadi akakope tena alipe mkopo wa nyuma?. Achana na wakenya aisee, hao ni watu wa kujisifu na kujionyesha.
Sasa hiyo Jambo au hakuna matata c kiswahili cha kizungu kizingu kutokana hawajui kutamka maneno sahihi ndo yakatokea hayo maneno sio kama eti wameanzisha wakenya neno Jambo linatokana na neno Ujambo maana yake unamtolea mtu salam sasa mzungu ndo kiswahili kinamsumbua ndio akatamka Jambo. Pia Kenya kutangazika ktk Google kuhusu kiswahili ni sawa na kutangazika Us English ktk software chaguo namba moja unaambiwa Us English namba mbili ndio UK English ila ufundi wote wa English unapatikana UK.
😂😂😂😂😂😂😂

Screenshot_20190902-092904.png
Screenshot_20190902-093116.png
Screenshot_20190902-092904.png
Screenshot_20190902-093116.png
Screenshot_20190902-093156.png
Screenshot_20190902-093133.png
 
Na hao wasukuma unaowazungumzia TZ tuna makabira zaidi ya 121 sio kama huko kwenu Nchi nzima vikabila viwili tu ndio maana ukabira unakua kama timu ya mpira kila mtu anashangilia upande wake, sasa bac ktk kabira hizo 121 zingine zinaishi kwa ufugaji kwahiyo maisha yao sana wanaishi porini zinafuata sana mila toka utoto wanaongea kilugha tu ndio maana hawaongei kiswahili kizuri na sio Wasukuma tu kuna na wamang'ati kama hujui wamasai kwahiyo ukimuona msukuma anaongea kiswahili hakieleweki bc huyo ujue alikua mchunga mifugo maporini lakini sio wasukuma wote hawajui kiswahili hapana kwanza mjini Kahamahumo kote wamejaa wasukuma wanaongea vizuri tu iwezi kushindanisha na kiswahili cha Nairobi, kama ulikua hujui bac ndo hivyo .
 
Tunajua nyie ndio mnatafuta News za Kenya hata channels za Kenya mnapenda Sana
😁😁😁
Screenshot_20190902-093439.png
Screenshot_20190902-093429.png
Screenshot_20190902-093349.png
Screenshot_20190902-093551.png
Screenshot_20190902-093519.png
 
Kwa hilo sina uhakika lakini mm binafsi Chanel ya Kenya nayoijua Citizen tu na sijui hata kipindi kimoja wala cjawahi kuangalia japo hata kwa dakika 5 maana hata kukiwa kuna kipindi cha kiswahili lakini kiswahili wanachoongea utazani labda hawajaenda shule walikua wafugaji porini huko ndo wakachukuliwa wakawekwa kwenye kipindi lugha haina hata mvuto Mimi hata cjui naangalia nini wanavyoongea kama vile comedy sasa Mimi na comedy za kuongea ovyo ovyo tofauti .
Soma taratibu hizo comments afu ufungue Hilo bakuli lako.
 
Back
Top Bottom