Nguvu ya ushawishi wa Rais Samia imeongezeka maradufu mpaka inatishia uwepo wa upinzani na kutamani asigombee

Kwa nini tunaweka malengo ya kesho wakati hatujuhi kama tutakuwepo sekunde Moja mbele?
Ana ushawishi lakini hataki tume huru ya uchaguzi! Hizi ndio zile porojo za enzi za dhalimu magu, kwamba anakubalika lakini hataki wenzake watangazwe kwenye kampeni kisha akaishia kupora uchaguzi! Chawa mnawachanganya viongozi wenu wanaishia kuamini porojo zenu, ukifika wakati wa uchaguzi wanaishia kupora kura.
 
Naona unapost na kujijibu mwenyewe! Ww na Lucas mwashambwa ni nani chawa senior, maana ww unasahau kuweka namba ya simu.
 
Hivi umewahi kushuhudia hiki kituko. Tume inapotangaza mgombea wa CCM huko namtumbo kashinda malalamiko yanakuwa mengi kuwa tume siyo huru lakini tume hiyo hiyo inapotangaza mgombea wa CHADEMA huko mbeya kashinda inasifiwa kuwa ni tume huru.

Kwa mtazamo huo msitegemee kuona mnachotaka maana tume hiyo hiyo mnaipa majina tofauti kulingana na matamanio yenu
 
Ni wapi hiyo tume inasifiwa ww, madai ya tume huru ni toka mfumo wa vyama vingi vya siasa. Hiyo tume ikimtangaza mpinzani hakuna popote inaposifiwa maana sio hisani Bali ni wajibu wake. Sana sana watu huwa wanashangaa wametoa wapi uthubutu wa kumtangaza mpinzani.
 
Sasa kama ni wajibu kutangaza ushindi Kwa mshindi mbona mnalalamika inapotekeleza wajibu wa kutangaza kushindwa?

Tofauti na michezo mingine ambayo ina matokeo ya sare( draw) ,matokeo ya mchezo wa siasa yanaumiza sana kutokana na kukosekana Kwa sare ni ama umeshinda au umeshindwa. Matokeo ya kushindwa ni mabaya kama hukujiandaa kuyapokea.

Naishauri Serikali ianzishe huduma ya ushauri nasaha Kwa watu kuweza kuyakubali matokeo na kukubali kushindwa.
 
Mkuu ingalikuwa ni vyema kama hoja yako ingalishadadiwa na takwimu ili kuweza kuthibitisha ongezeko hilo la mara dufu la ushawishi wake katika "clusters" tofauti za watu, mathalani, wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara, na maeneo mengine.
Nimepokea ushauri wako, mara nyingine nitaelezea Kwa takwimu
 
Kwi Kwi Kwi
 
Sawa Lucas Mwashambwa umekuja kwa ID nyingine. Makelele ni mengi kuliko uhalisia.
 
Hii ndio Tz..nchi yenye werevu 10% na wapum.bavu 90%
 
Samiah Hana ushawishi kabisa. Ndipo maana kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Mara Samiah Queens mara chawa wa Samiah BLA BLA nyingi, wakati upinzani wapo kimya. Ila kwenye siasa wiki moja ni kubwa Sana.
Vita kapo wekwa vibonzo akiwa anakula Bata Uarabuni wiki Moja kabla ya kupigia kura ndipo Maza atajuwa Watanganyika sio viumbe sahihi
Amuulize Salim Ahmed Salim alichofanywa na Boys group Naikumbukwe wakati ule kulikuwa hakuna mitandao
Izingatiwe jinsia yake namshauri Maza aachane na Wahafidhina wa CCM sio Watu wazuri kabisa!!!
Ukifuatili kwa kina zile Punch za Mlimani wakati ule wa Mwinyi ndio hao hao walio zianda
Maza waogope kama Ukoma sio Watu Wazuri kabisa
Hiyo MKonda unaye mtegemea alikuwa anamfunga Jamba za viatu Rizi Moko Lakini ndiyo huyo huyo alikuja kumpandikizia Rizi kesi ya kunyongwa ya uuzaji wa madawa ya kulevya bila aibu sembuse wewe Maza
Ushauri wangu
Wajukuu watamu kacheze nao ukiwa raia huru kuwa mtu wa kujificha ficha katika umri wako haipendezi
Waachie hao Mahafidhina liinchi lao kama Baba wa Taifa alivyo muachia Mzee Rip Ruksa
 
Mama Samia keshapoteza uelekeo hata akigombea udiwani huku bara hapati nyie endeleeni kumdanganya Kwa maslahi yenu lakini mama huyo hakubaliki hata kidogo na ndio maana mmeanzisha kampeni mapema mkidhani mnamuokoa kumbe mnamzamisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…