Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Na hapo wanakuandaa ufikie miaka ya 50 ili uchukue kijiti cha uchawi, kataa uchawi kataa uganga kataa giza, kimbilia kwenye nuru Mungu atakupa majibu yote kikubwa cha kujuwa ni kuwa mvumilivu Mungu ajibu papo hapo huwa anakupa muda kidogo jitahidi kuvumilia
 
Mateso yalikuandama pale ulipooanza sana kuamini uganga kuliko mambo mema ya Mungu, Mungu huwa haziakiwi, nachukuia sana kuona mtu anapambana kweli na mambo ya giza, uganga, uchawi, ushirikina
Hivi mlienda kusomea ujinga?

Uganga una ubaya gani?
Uganga maana yake udaktari wa asili
 
Ipo siku utaleta ushahidi hapa namna umefanikiwa maana unayopitia sahivi baada ya muda utashangaa utafanikiwa sna lakini ukishika amri za Mungu na kumkiri yesu kama mwokozi wako
 
mkuu unapofikwa na majanga makubwa hasa hasa homa ambayo inakukatisha tamaa. Chochote utakachoambiwa tiba utakubali tu ili mradi ukae sawa, sio kwamba nilivyoanza kuumwa sikwenda hospitali, nilienda na Hakuna homa, ilifikia hatua Daktari ananipa ushauri nikanywe maji mengo zaidi, nifanye mazoezi na kula matunda mana homa haionekani. Mimi binafsi kwa niliyopitia siwezi kurudi tena kwa waganga wa kienyeji

MALEZI tuu.
Hata uumwe vipi kama umelelewa vizuri huwezii kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ni bora ufe kuliko kwenda kujidhalilisha kwa wa wachawi na ushirikina
 
MALEZI tuu.
Hata uumwe vipi kama umelelewa vizuri huwezii kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ni bora ufe kuliko kwenda kujidhalilisha kwa wa wachawi na ushirikina
Haya mzee, yote kwa yote ni moja ya mapito na experience ya maisha ambayo inakupa mafunzo ya kipi ni sahihi
 
Hivi mlienda kusomea ujinga?

Uganga una ubaya gani?
Uganga maana yake udaktari wa asili
Wewe amini unachokiamini mkuu mimi ujinga wangu upo kwa yesu, acha niwe mjinga kwa kuchagua Yesu kuwa njia ya uzima , mkuu hilo huwezi nibadilisha hata ufanyaje hata aje nani. Wapo waliojaribu kutumia uganga nikose haki zangu lakini walipigwa peupee walikuja wenyewe kwangu na kuniomba msamaha, walizunguka kwa kila mganga hawakuweza wakabaki kunimbia dah mkuu huyu Mungu usimuache.

Hapo tu unaweza ona nguvu ya Mungu ilivyo kuwa kubwa kuzidi hizo za waganga, wewe zipeleka sadaka zako kwa waganga wakati mimi zaka, dhabihu zangu nazipeleka kwa Mungu, msaada wangu watoka kwa Bwana na sio vinginevyo
 
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.

Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.

Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.

Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.

Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.

Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.

Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.

Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.

Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana

Cc MshanaJR
Pole!

Kama makanisa yameshindwa jaribu kwenda Kwa manabii!nenda na sadaka hasta ndogo wakaonbe nayo umwambie mungu akufungue!!

Jaribu nenda kwa yule Boniface victor pale Temeke pile!!!

Halafu uone,ukiona Bado nenda kwa mwamposa labda utapata!!

Ukiona bado utani PM Sasa nikuonyeshe pa kwenda Tena ukajaribu Kwa mara ya mwisho!!!

MAELEZO KWA KINA;-

Kanuni za kiroho zana password zake,uchawi,mizimu na mambo yote ya kiroho yana password zake,

Watumishi wengi wa Mungu hasa makanisani ni watumishi was makanisa na sio wa Mungu ndio maana baadhi Mungu hawawafunulii namna ya kutatua Tatizo la mtu kutokana na asili yake ,wengi wanakemea TU general bila kanuni muhimu!!

Ndio maana hata yesu alitenda tofauti tofauti kutokana na aina ya matatizo Fulani ya watu!Kwa mfano;-wengine aliwapaka tope machoni wakanawe kwenye kijito,wengine aliwakemea mapepo!wengine alisema neno tu!

Hata agano la kale pia manabii wengine walimlalia mgonjwa kitandani kama eliya alivofanya,wengine aliwachomea utambi wa mafuta ya samaki kutoa mapepo,wengine walinawa kwenye mto jordan wakapona ukoma!!

Password mkuu password!!!
 
Nenda ukafanye matambiko kwenu. Unakomaa na makanisa wakati nayo ni matambiko(ibada). Wasikilize wazee wa kwenu kwa sababu huwawezi kiroho. Mambo yako yatazidi kuwa mabaya.
 
Pole!

Kama makanisa yameshindwa jaribu kwenda Kwa manabii!nenda na sadaka hasta ndogo wakaonbe nayo umwambie mungu akufungue!!

Jaribu nenda kwa yule Boniface victor pale Temeke pile!!!

Halafu uone,ukiona Bado nenda kwa mwamposa labda utapata!!

Ukiona bado utani PM Sasa nikuonyeshe pa kwenda Tena ukajaribu Kwa mara ya mwisho!!!

MAELEZO KWA KINA;-

Kanuni za kiroho zana password zake,uchawi,mizimu na mambo yote ya kiroho yana password zake,

Watumishi wengi wa Mungu hasa makanisani ni watumishi was makanisa na sio wa Mungu ndio maana baadhi Mungu hawawafunulii namna ya kutatua Tatizo la mtu kutokana na asili yake ,wengi wanakemea TU general bila kanuni muhimu!!

Ndio maana hata yesu alitenda tofauti tofauti kutokana na aina ya matatizo Fulani ya watu!Kwa mfano;-wengine aliwapaka tope machoni wakanawe kwenye kijito,wengine aliwakemea mapepo!wengine alisema neno tu!

Hata agano la kale pia manabii wengine walimlalia mgonjwa kitandani kama eliya alivofanya,wengine aliwachomea utambi wa mafuta ya samaki kutoa mapepo,wengine walinawa kwenye mto jordan wakapona ukoma!!

Password mkuu password!!!
Una hoja ya msingi
 
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.

Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.

Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.

Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.

Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.

Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.

Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.

Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.

Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana

Cc MshanaJR
Ushauri
Fuata ulichoelekezwa na wazee wako wa kijiini huko usukumani, fanya tambiko na kuiomba mizimu Yako ikusamehe ulipokosea , Baada ya kufanya hayo mambo Yako yatanyooka balaa

Kiufupi , mizimu Haipendi mambo mengi , Bali inapenda kukumbukwa tu na mizimu inaweza shikilia riziki zako na usifanikiwe popote hata huko makanisani na ikichukia zaidi utapata tabu Sana

Kwanza, itataka uvae bangili lao wewe vaa, itataka labda nguo zao kaniki nyeusi na ile NYEKUNDU ziwe ndani kwako wewe weka, zitataka uwe na lupingo, pamoja na kirungu wewe weka ndani na mara Moja Moja vaa

Uamuzi ni wako , uendelee kutaabika au uwasikilize wazee wako (mizimu)
 
Mimi nilipitia hali Yako, mizimu hawana nguvu hiyo kama ukijikita kwenye maombi, Mimi wameshanishindwa, nitafute tuongee hata kwa simu
Mizimu yako haina nguvu basi , Kuna mizimu Ina nguvu sana
 
Waliabudu wasichokijua,watahukumiwa kwa sheria ya maadili yaani do and don't do.
Huna Akili , yaani Mababu zako waliabudu wasichokijua lakini wazungu usowajua wamekuletea tamaduni zao unazishabikia
 
Mgonjwa hata ukimpa mavi na kumwambia hii ni dawa atakula ili apone, sasa wewe inabidi ufuate ushauri uliopewa ili matatizo yako yaishe
 
Pole sana mkuu, kwenye koo nyingi kuna mambo ya "kafara la ukoo" yani familia moja inateuliwa kubeba ukoo, kwa mf, ukingalia life la baba/mama yako ni duni ila wenzake wote &familia zo wanapeta fresh tu, kinachofuata wanachagua mtoto wake mmoja ataefata nyayo [ukapuku/umsikini wake] ili kubeba watoto wa baba zako wakubwa/wajomba. Hayo maagano hufanywa mapema sana [nikitu nimeona]
 
Huna Akili , yaani Mababu zako waliabudu wasichokijua lakini wazungu usowajua wamekuletea tamaduni zao unazishabikia
Wangekuwa wanaabudu kitu sahihi imani za wazungu zisingekuwa na nguvu sasa
 
Maagano yote ya ukoo ufungwa kwa kafara au sadaka ya kitu chochote so huwezi yatengeua hayo maagano bila kutoa nawe sadaka.
Mganga hawezi tengua maagano sababu wote ni kampuni moja.
Kumbuka mizimu ni maboss wa majini.
Yaani mizimu Ina nguvu kuliko majini.
 
Back
Top Bottom