Hivi mlienda kusomea ujinga?Mateso yalikuandama pale ulipooanza sana kuamini uganga kuliko mambo mema ya Mungu, Mungu huwa haziakiwi, nachukuia sana kuona mtu anapambana kweli na mambo ya giza, uganga, uchawi, ushirikina
Sawa mkuu. Shukrani sanaSawa mkuu , ila badilisha mtazamo wako kuhusu hiyo hali , utakua poa tu, hali kma hyo inampata kila mtu tu , chukulia kawaida.
mkuu unapofikwa na majanga makubwa hasa hasa homa ambayo inakukatisha tamaa. Chochote utakachoambiwa tiba utakubali tu ili mradi ukae sawa, sio kwamba nilivyoanza kuumwa sikwenda hospitali, nilienda na Hakuna homa, ilifikia hatua Daktari ananipa ushauri nikanywe maji mengo zaidi, nifanye mazoezi na kula matunda mana homa haionekani. Mimi binafsi kwa niliyopitia siwezi kurudi tena kwa waganga wa kienyeji
Haya mzee, yote kwa yote ni moja ya mapito na experience ya maisha ambayo inakupa mafunzo ya kipi ni sahihiMALEZI tuu.
Hata uumwe vipi kama umelelewa vizuri huwezii kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ni bora ufe kuliko kwenda kujidhalilisha kwa wa wachawi na ushirikina
Haya mzee, yote kwa yote ni moja ya mapito na experience ya maisha ambayo inakupa mafunzo ya kipi ni sahihi
Hakika mkuu, nashukuru sana kwa ushauri..Ni kweli kabisa.
Kama umepata nuru wasaidie na wengine. Hakuna msaada kwa wachawi na washirikina
Wewe amini unachokiamini mkuu mimi ujinga wangu upo kwa yesu, acha niwe mjinga kwa kuchagua Yesu kuwa njia ya uzima , mkuu hilo huwezi nibadilisha hata ufanyaje hata aje nani. Wapo waliojaribu kutumia uganga nikose haki zangu lakini walipigwa peupee walikuja wenyewe kwangu na kuniomba msamaha, walizunguka kwa kila mganga hawakuweza wakabaki kunimbia dah mkuu huyu Mungu usimuache.Hivi mlienda kusomea ujinga?
Uganga una ubaya gani?
Uganga maana yake udaktari wa asili
Pole!Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Una hoja ya msingiPole!
Kama makanisa yameshindwa jaribu kwenda Kwa manabii!nenda na sadaka hasta ndogo wakaonbe nayo umwambie mungu akufungue!!
Jaribu nenda kwa yule Boniface victor pale Temeke pile!!!
Halafu uone,ukiona Bado nenda kwa mwamposa labda utapata!!
Ukiona bado utani PM Sasa nikuonyeshe pa kwenda Tena ukajaribu Kwa mara ya mwisho!!!
MAELEZO KWA KINA;-
Kanuni za kiroho zana password zake,uchawi,mizimu na mambo yote ya kiroho yana password zake,
Watumishi wengi wa Mungu hasa makanisani ni watumishi was makanisa na sio wa Mungu ndio maana baadhi Mungu hawawafunulii namna ya kutatua Tatizo la mtu kutokana na asili yake ,wengi wanakemea TU general bila kanuni muhimu!!
Ndio maana hata yesu alitenda tofauti tofauti kutokana na aina ya matatizo Fulani ya watu!Kwa mfano;-wengine aliwapaka tope machoni wakanawe kwenye kijito,wengine aliwakemea mapepo!wengine alisema neno tu!
Hata agano la kale pia manabii wengine walimlalia mgonjwa kitandani kama eliya alivofanya,wengine aliwachomea utambi wa mafuta ya samaki kutoa mapepo,wengine walinawa kwenye mto jordan wakapona ukoma!!
Password mkuu password!!!
UshauriHabari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Mizimu yako haina nguvu basi , Kuna mizimu Ina nguvu sanaMimi nilipitia hali Yako, mizimu hawana nguvu hiyo kama ukijikita kwenye maombi, Mimi wameshanishindwa, nitafute tuongee hata kwa simu
Huna Akili , yaani Mababu zako waliabudu wasichokijua lakini wazungu usowajua wamekuletea tamaduni zao unazishabikiaWaliabudu wasichokijua,watahukumiwa kwa sheria ya maadili yaani do and don't do.
Wangekuwa wanaabudu kitu sahihi imani za wazungu zisingekuwa na nguvu sasaHuna Akili , yaani Mababu zako waliabudu wasichokijua lakini wazungu usowajua wamekuletea tamaduni zao unazishabikia
Imani za Kiarabu na Kizungu zilipata nguvu sababu ya Dola zao walizotumia kutawalaWangekuwa wanaabudu kitu sahihi imani za wazungu zisingekuwa na nguvu sasa