Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nawe hukumuuliza kwanini?Marehemu bibi yangu alikua ananikataza kujiangalia kwenye kioo nyakati za usiku, sikujuaga kwanini
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe hukumuuliza kwanini?Marehemu bibi yangu alikua ananikataza kujiangalia kwenye kioo nyakati za usiku, sikujuaga kwanini
Vipi na vile vioo vya Saloon?.Wanawake uingiliwa na majini mahaba chanzo Huwa ni kioo pia kwa kujianika uchi kwenye dressing table umvutia jini mahaba kufanya nao ngono usiku kupitia ndoto.
Kioo ni kioo uacha sura
Na unaweza kuchanganyikiwa kabisa.Kuna mda ukizingatia Kila kitu maisha yatakua magumu
Eeh tupe ctoryNiliwahi kusoma sehemu kuhusu kioo, nikajaribu kufanya jambo na niliona kitu cha ajabu sana.
Nili focus kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku mzito kwa zaidi ya lisaa limoja, niliweka mishumaa miwili kando ya kioo, mwekundu na mweupe.Eeh tupe ctory
Duh ikawajeNili focus kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku mzito kwa zaidi ya lisaa limoja, niliweka mishumaa miwili kando ya kioo, mwekundu na mweupe.
Seriously nilianza kuona sura zangu tofauti kwenye kile kioo, yaani kuanzia sura ya utotoni na sura nyingine tofauti tofauti za ngazi za ukuaji wangu.
Sikuogopa Kwani nilitarajia kuona niliyo yaona, nili cancel zoezi kisha nikapanda kitandani nikalala.Duh ikawaje