Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wa kukuelewa tumekuelewaMwaka Jana,
Nilileta Uzi wa maudhui kama Huu,
Sema wengi humu hawakuchukulia serious.ila Ni wengi TU tunateseka na hili.
Afu bado Kuna mtu anashangaa kwann wanaume wengine
tunakua na Michepuko.
Kiuhalisia Hali Hii tusidanganyane mwanamke mmoja hatoshi kabisa.
Tukinga'angana ndo Yale tunapewa kesi za ubakaji ndani ya ndoa.
Hivi nyie wanawake
Kwanini mnatupuuza?
Hivi mnataka hiki kilio chetu Nani atusikilize jamani?[emoji22]View attachment 2397484