Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

maandiko yanasema mwanamke mchawi anastahili kuuawa, wao walimkenulia wakamwacha tuu mpaka kajifia mwenyewe.

sehemu zingine huyo angeshafyekelewa mbali zamani mno.
 
maandiko yanasema mwanamke mchawi anastahili kuuawa, wao walimkenulia wakamwacha tuu mpaka kajifia mwenyewe.

sehemu zingine huyo angeshafyekelewa mbali zamani mno.
Hamna sehemu inaongoza kwa kuua wanawake wanaituhumiwa uchawi kama huko Kanda ya ziwa.

Zamani kulikuwa na jeshi la sungusungu wao pia walikuwa na uchawi wa kujilinda na uchawi wa kuwagundua wachawi.

Kwa Ng'wanakapolo waligonga mwamba
 
Watu wa Pwani kila kinywaji mnaamini ni Chai? Yaani hata whisk nyie mnajua ni chai?? Watu wa kanda ya Ziwa Victoria wanamjua vizuri Ng'wanakapolo Kwa hiyo wanapoona Mtu anaita story yake ni chai wanamshangaa Sana.
Halafu huko pwani si ndio hata wababa wanakuwa ni ma girlfriend wa wababa wengine?
 
Ana bahati hakukutana na watu wa Mungu mwenye nguvu wangemsambaratisha na uchawi wake ungeisha
Tatizo lenu ni unafiki. Mnajidai watu wa Mungu huku mna tuhirizi mifukoni, mnazini kidogo, gambe la kimya kimya mpo. Utapeli na dhuluma mnatembea nayo. Uwongo mpo. Usengenyaji mpo.

Ndio maana hamna nguvu kabisa
 
Wasukuma/wanyamwezi na mauchawi yote jamii zenu ni maskini sana,ardhi yenu ina madini kibao,kuanzia Kahama,ushirombo mpaka nyakanazi,kakola,Geita,bulhanhuru,kote huko ni madini lakini watu wake ni maskini sana.
Sasa hayo maujuzi ya uchawi yamewasaidia nini?
 
"Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu."

Je, bhodaga
 
Mchawi hana tamaa na mali ndio maana hata akija kukuloga hawezi kukupora hela hata kama zipo juu.

Mchawi ni mtafutaji hawezi kuchimba madini sababu madini hayaliwi yeye anafanya vitu vyenye manufaa ya moja kwa moja.

Hongera kwa wachawi wote Kwa kazi nzuri muendelee na moyo huo huo msije mkaibia watu🙏
 
Mhuuuuum ya kweli haya jamani. Ila umenikumbusha Mheshimiwa mbunge Malaki Lupondije,Mungu aendelee kumpumnzisha kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…