Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

Tatizo lenu ni unafiki. Mnajidai watu wa Mungu huku mna tuhirizi mifukoni, mnazini kidogo, gambe la kimya kimya mpo. Utapeli na dhuluma mnatembea nayo. Uwongo mpo. Usengenyaji mpo.

Ndio maana hamna nguvu kabisa
kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, tena kenge hufanana na mamba, unaweza kudhani kenge ni mtoto wa mamba, halafu shambani huwa kuna magugu yanakua pamoja na mazao safi yaliyopandwa, hayo yasiyopandwa ni vigumu kuyatambua kama wewe si mkulima. Watu wa Mungu wapo na wa ibilisi wapo, dunia ina pande mbili kinzani, ulimwengu wa giza na ulimwengu wa nuru
 
Pictures Ya Misukule
1638458190716.png
 
Tuna mengi sana ya kuandika. Tusipoandika vizazi vyetu vijavyo vitatuhukumu
Kuna yule mkuu wa wilaya alikuja Magu kwa kukurupuka, akawatusi wazee wa Magu. Baada ya siku alijikuta uwanjani asubuhi akiwa uchi kapigwa pumbu na kunyolewa nywele sehemu za Siri. Akarudi kwa mzee ruksa akamwambia Magu sirudi Kama ukuu wa wilaya basi.
 
Wazee ni watu wakubwa Sana kwenye ulimwengu wa giza muhimu usitafute nao vita pasipo sababu
 
Umenikumbusha mzee lupondije enzi hizo alikua na basi zimeandikwa "lupondije na bana bakwe" maana yake" lupondije na wanae.

Alikua tajiri sana yule mzee.
Pia kuna mzee alikua anaitwa paulo ng'wani huyu alikua na semi hazina idadi

Ila inasemekana alikua na joka kubwa sana kila mwaka linakula mtu 'wafanyakazi na ndugu'ndio ndagu yake
 
Pia alikuwepo Jonas Gombanila alikuwa na basi mabasi yake unamkumbuka?

Hivi madoadoa yalikuwa mabasi ya nani?
 
Umenikumbusha mzee lupondije enzi hizo alikua na basi zimeandikwa "lupondije na bana bakwe" maana yake" lupondije na wanae.

Alikua tajiri sana yule mzee.
Pia kuna mzee alikua anaitwa paulo ng'wani huyu alikua na semi hazina idadi

Ila inasemekana alikua na joka kubwa sana kila mwaka linakula mtu 'wafanyakazi na ndugu'ndio ndagu yake
Kafilisika Paulo,hizo semi zimebaki skrepa tu,mke hakukubali mdogo wake aliwe,joka likatoka kwenda majini,ndo mwisho wa utajiri wa paulo
 
Back
Top Bottom