Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

Nimeona hii kitu insta, kuna jinga moja limepost barua ya notisi aliyopewa mpangaji akitafuta huruma za kijinga.

Hivi watu wakoje hawaoni magorofa machafu yamechoka! Afterall notisi ya siku 90 ni haki kisheria, mbona mtaani tunapewa notisi na kutoa kwa wapangaji( as far as imefuaata utaratibu na utu).


Ni jambo zuri!
 
Hapo kuna kitu nyuma ya pazia. NHC wamevunja majengo matatu makubwa DAR CBD miaka kadhaa iliyopita na hiI eneo sasa hivi ni viwanja ya watu kupaki magari na kichaka la wahuni. Viwanja ni hizi,
1 Samora Avenue mkabala na TRA.
2 Samora Avenue Clock Tower karibu na benki NBC.
3 Pale round about Jengo la Mbowe Bilicanas.

Hizi mbona hazijajengwa? Ni viwanja vikubwa katikati ya mji
 
Enzi zile walizuiwa kopa pesa kuendesha hiyo miradi.

Kwa sasa Sheria imebadilishwa wameruhusiwa kuingia Ubia na yeyote
 
Sidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.
kwani kuna ubaya kuwa na sehemu mbili za biashara si ndio vizuri serikali ipate kodi nyingi
 
Bora wamefanya ivo ...watanzania jinsi wasivyo wastaarabu ukiwaruhusu watumie choo watakavyo kuna siku utakuta wamepaka mavi ukutani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jamanii waarabu wanataka bongo iwe kama dubaiiii....tuoneshe ushirikiano yakhee waleee hawataki vikubwaa hataaa sheheee
 
Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
Hizo nyumba ni mali zao Nyerere aliwapora babu zao,hazikujengwa na Serikali zilitaifishwa.
Kutaifisha ni kitendo Cha Serikali kuchukua Mali ya raia kinguvu pasipo ridhaa ya mwenye mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…