DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hao jamaa wamelogwaHiyo petition haijawahi amua lolote lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hao jamaa wamelogwaHiyo petition haijawahi amua lolote lile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4]Wamerundikana kwenye vile vi boksi vya njiwa kama watoto wa Tetele.
Enzi zile walizuiwa kopa pesa kuendesha hiyo miradi.Hapo kuna kitu nyuma ya pazia. NHC wamevunja majengo matatu makubwa DAR CBD miaka kadhaa iliyopita na hiI eneo sasa hivi ni viwanja ya watu kupaki magari na kichaka la wahuni. Viwanja ni hizi,
1 Samora Avenue mkabala na TRA.
2 Samora Avenue Clock Tower karibu na benki NBC.
3 Pale round about Jengo la Mbowe Bilicanas.
Hizi mbona hazijajengwa? Ni viwanja vikubwa katikati ya mji
Sana yaani. Tumewawinda sana hao njiwa poriNimecheka sana
Mkuu ynawajua tetele
🤝Sana yaani. Tumewawinda sana hao njiwa pori
kwani kuna ubaya kuwa na sehemu mbili za biashara si ndio vizuri serikali ipate kodi nyingiSidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.
Bora wamefanya ivo ...watanzania jinsi wasivyo wastaarabu ukiwaruhusu watumie choo watakavyo kuna siku utakuta wamepaka mavi ukutaniWakarabati kwanza na kuhakikisha waliyonayo yanafanya kazi katika ufanisi unaotakiwa.
Nhc Samora soko la madini ni Jengo la kibiashara lakini chooni tu unatakiwa kwenda na funguo vyoo vinafungwa et hakuna wa wafanya usafi wa kutosha.
Mbu kila mahali tena wana nguvu kama Ng'e.
Hakuna ubaya kama analysis ilitoa majibu hayo... ubaya ni pale kumfurahisha muwekezaji!kwani kuna ubaya kuwa na sehemu mbili za biashara si ndio vizuri serikali ipate kodi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakarabati kwanza na kuhakikisha waliyonayo yanafanya kazi katika ufanisi unaotakiwa.
Nhc Samora soko la madini ni Jengo la kibiashara lakini chooni tu unatakiwa kwenda na funguo vyoo vinafungwa et hakuna wa wafanya usafi wa kutosha.
Mbu kila mahali tena wana nguvu kama Ng'e.
NimekusomaMkuu hii inahusu economic zone ya ubunge mzee.... mradi unapambana upate wateja kwa nguvu zote so kkoo lazima iuliwe
Kwann wasiungane waingie ubia na NHC wajenge maghorofa marefu
Hizo nyumba ni mali zao Nyerere aliwapora babu zao,hazikujengwa na Serikali zilitaifishwa.Waje wapange huku Uswazi Vingunguti