NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

Tusiishi kwa kuendekeza umasikini na masikini
Kwa bei hiyo ya 3t ni ndogo sana
Mkuu kwa mishahara gani mtu anaweza kulipa mortgage kwa nyumba ya mkopo?
Sio wote wanaweza ku afford ndio maana nikasema hivyo
Affordable houses zipo kwenye serikali nyingi sio za kimasikini bali hata nchi zilizoendelea kuna nyumba za watu wa kipato kidogo
 
Hili kila mtu atashangaa,pesa ndogo mno...may be kama wamegawana share ila NHC ni majority shareholder au hilo eneo lina madeni na Kodi nyingi hazijalipwa so wamenunua madeni na Kodi ambazo hazijalipwa(hili nimewaza tu)
Unajua, tuchukulie kuwa nyumba ni mzee Masawe, akaamua kumuuzia mjomba wake kwa milioni 50, shida iko wapi? Hata kama wewe ukadhani kuwa nyumba hiyo gharama yake si chini ya milioni 500.
Acheni mradi uendelee!
 
Usichokubaliana hapa ni nini? Kama ulipanga kununua, sorry! Jaribu pengine, pesa si bado unayo.
 
Serikali ineamua kuwapa NHC eneo hilo. Wanatuzuga eti wamenunua kwenye mnada wa wazi. BTW napongeza serikali kuwapa NHC hilo eneo wafanye kama pale magomeni Kota.
Magomeni kota ni Tba na sio Nhc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…