Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Acha ulofa basi..Kwa hiyo mtoa mada unataka umukatie Mama Mkwe wako bima,utakuwa umelogwa sio bure
Mama mkwe ni Kama mama Yako.. akiugua lazma utagharamika pakubwa tu, ni Bora ujiham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ulofa basi..Kwa hiyo mtoa mada unataka umukatie Mama Mkwe wako bima,utakuwa umelogwa sio bure
Mzee thread inahusu ninUwezo wako wa kufikiri umeishia NHIF, ungetumia akili zako vizuri ungegunduwa tatizo la msingi lipo NIDA na huwezi kulimaliza Kwa kupata bima tu ya NHIF.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo mtoa mada unataka umukatie Mama Mkwe wako bima,utakuwa umelogwa sio bure
Ukishalipia Bima inaruhusu kuwaunganisha watu 6 kwa gharama hiyo hiyo uliyokatwa kwenye mshahara kwa maana hata ukiwabania hao wakwe bado utakatwa kiasi kilekile cha pesa haipunguzi wala haiongezi kituKwa hiyo mtoa mada unataka umukatie Mama Mkwe wako bima,utakuwa umelogwa sio bure
Bado. Dogo anatembeza bakuli yani anatia huruma as if sio mfabyakazi wa serikaliDuh poleni sana,mwisho wake ikawaje amepata udhamini wowote mahali
Yes, mimi ni mulokole na mtumishi kabisa wa Mungu. Nilianza kujiita jina hilo hapa JF mwaka 2007, nikaja kuokoka mwaka 2015. So nilijitabiria neema hiiMchango wenye manufaa makubwa huu kwa jamii.
Lakini kama ilivyo kawaida, mada za aina hii hazipati wachangiaji.
Hongera mkuu 'Mulokole'.
Acha niulize swali la pembeni mwa mada husika: hivi wewe ni 'Mulokole' kweli?
Nilienda na deed pool nabado walinikataliaAffidavit haitambiliki huko.. tafuta kitu kinaitwa deed pool umemaliza mchezoo, hyo ndo yenye mamalaka ya kutambua majina yote. Jpo ni gharama zaid
Sababu uko kwa shemejiHawa nhif ni wezi na wahuni tu! Shenzi type!
We jamaa umeeleza vizuri sana.Tatizo watanzania wako negative sana. Hawajui hata maana ya insurance. Ukiacha vitu hivi vikawa havina taratibu utaua mfuko. Watu wanalalama kwamba NHIF ni wazeewa makato, ndio, maana wanachokata kwako wewe unayelalama, ndicho kinachowalipia matibabu maelfu ya watu ambao ama wanaumwa wao au wategemezi wao.
Kuna jamaa wanapiga kelele humu, lakini utakuta tegemezi wake ana magonjwa sugu kibao, na anakula pesa za mfuko wa Bima zaidi ya laki 2 kila mwezi, wakati huyo mtoto wa tegemezi anakatwa kila mwezi chini ya elfu 50. Sasa ikiwa tegemezi wake anakula zaidi ya laki 2 kwa mwezi, na yeye na familia yake labda pia anatibiwa hapa na pale, unadhani hizo pesa za juu zinatoka wapi? Zinatoka kwa wanachama wengine ambao wanakatwa pesa ndigo kila mwezi, lakini hawaumwi.
Ukitaka ujue umuhimu wa bima, subiri yakufike.
Kulikuwa na umuhimu kuwa na kipengele cha kujitoa kwenye huu mfuko, ili watu waje wasimulie yakiwapata.
Kumbuka mchango unaotoa NHIF, huwa hautoshi kukupa matibabu.
Hongera zako mkuu 'Mulokole' kwa "kuokoka"!Yes, mimi ni mulokole na mtumishi kabisa wa Mungu. Nilianza kujiita jina hilo hapa JF mwaka 2007, nikaja kuokoka mwaka 2015. So nilijitabiria neema hii
Bima inatambua Wazazi 2, inatambua Tegemezi 4 walio chini ya Miaka 21NHIF intention yao sio kutoa huduma ni kukomoa tu. Imagine kuna dogo mmoja baba yake na mama yake walifariki kitambo akalelewa na kaka yake huko kijijini, kaka amepambana kumsomesha huyo dogo tangu chekechea mpaka leo dogo amemaliza diploma amepata kikazi chake. Kwenye wategemezi wa NHIF si kamuandika kaka yake maana yeye anasema hata baba yake hamkumbuki sababu alilelewa na kaka yake huyo tangu akiwa mdogo.
Eti NHIF wamemkatalia. Ona sasa kwa bahati mbaya ktk harakati za msiha huko kijijini kaka yake kaoata ajali, yani dogo anahangaika huyo hadi anatia huruma. Mbaya zaidi yeye ndio tegemezi kwa kaka yake. Amenipigia simu juzi mpaka analia ananiambia bro kaka anakufa nisaidie, gharama zimekua kubwa na NHIF hawamtambui kama mtegemezi wangu wakati mshahara wangu wanakata kioa mwezi.
Niliwaza nikajisemea hivi hawa ndo wanataka bima ya afya kwa wote?
Hii nchi wapuuzi ni wengi sana
Ukiugua?Serikali iweke option, ikiwa mfanyakazi hataki kujiunga NHIF aweze kujitoa kwa hiari...!! Isiwe lazima kuchangia, iwe willing ya mtumishi kujiunga au kujitoa
Duniani hakuna kitu kinachoitwa deed poolAffidavit haitambiliki huko.. tafuta kitu kinaitwa deed pool umemaliza mchezoo, hyo ndo yenye mamalaka ya kutambua majina yote. Jpo ni gharama zaid
Mimi wazee wangu wote wako na magojwa sugu kila mwezi wanapomwenda clinic bili hua ni laki Saba mpaka milioni na ushehe, kiukweli nawaza bila NHIF abadani tusingeweza mudu gharama za matibabu, bima ya afya ni kitu Cha mhimu sana.Tatizo watanzania wako negative sana. Hawajui hata maana ya insurance. Ukiacha vitu hivi vikawa havina taratibu utaua mfuko. Watu wanalalama kwamba NHIF ni wazeewa makato, ndio, maana wanachokata kwako wewe unayelalama, ndicho kinachowalipia matibabu maelfu ya watu ambao ama wanaumwa wao au wategemezi wao.
Kuna jamaa wanapiga kelele humu, lakini utakuta tegemezi wake ana magonjwa sugu kibao, na anakula pesa za mfuko wa Bima zaidi ya laki 2 kila mwezi, wakati huyo mtoto wa tegemezi anakatwa kila mwezi chini ya elfu 50. Sasa ikiwa tegemezi wake anakula zaidi ya laki 2 kwa mwezi, na yeye na familia yake labda pia anatibiwa hapa na pale, unadhani hizo pesa za juu zinatoka wapi? Zinatoka kwa wanachama wengine ambao wanakatwa pesa ndigo kila mwezi, lakini hawaumwi.
Ukitaka ujue umuhimu wa bima, subiri yakufike.
Kulikuwa na umuhimu kuwa na kipengele cha kujitoa kwenye huu mfuko, ili watu waje wasimulie yakiwapata.
Kumbuka mchango unaotoa NHIF, huwa hautoshi kukupa matibabu.
Ndio hii weakness tunayoizumzia sisiBima inatambua Wazazi 2, inatambua Tegemezi 4 walio chini ya Miaka 21
Ni haki yake, usiandike vitu kama umekunywa mataputapu.Kwa hiyo mtoa mada unataka umukatie Mama Mkwe wako bima,utakuwa umelogwa sio bure
Ni clinic ya nini hiyo mpaka igharimu pesa zote hizo?Mimi wazee wangu wote wako na magojwa sugu kila mwezi wanapomwenda clinic bili hua ni laki Saba mpaka milioni na ushehe, kiukweli nawaza bila NHIF abadani tusingeweza mudu gharama za matibabu, bima ya afya ni kitu Cha mhimu sana.