NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

Hosp kibao ziko na unalipa cash au unachukua bima unayotaka ww sio kulazimishwa ulipie NHIF kwa lazima.. NHIF iwe option ya mtumishi kukubali au kutafuta bima anayotaka yeye.
Strategy insurance wapo vizuri, mpaka Agha khan unatibiwa.

NHIF Agha Khan not accepted na Agha Khan ndio hospital Private number one Tanzania.
 
Huyo mtoa huduma uliyekutana naye hajielewi. Hawa ndo wanaforce watu wafoji nyaraka..Tumia Nida Halfu tafuta cheti cha kuzaliwa kipya kinachoendana majina na Nida
Nilienda na deed pool nabado walinikatalia
 
Sahihi
 
Ulitaka wakubali majina yoyote tu
uwezo wako wa akili una tia mashaka sana

kuna watu wamekosewa majina kwa waalimu kuandika kimakosa

kuna watu wamekosewa majina kwa walio waandikisha kukosea

akili yako inahisi watu wanapenda kosea majina yao maksud pumbav
 
uwezo wako wa akili una tia mashaka sana

kuna watu wamekosewa majina kwa waalimu kuandika kimakosa

kuna watu wamekosewa majina kwa walio waandikisha kukosea

akili yako inahisi watu wanapenda kosea majina yao maksud pumbavu
mm mwenyewe wakati wa kujiandikisha kupata kitambulisho cha kupiga kura karani aliyakosea majina yangu.ukienda kusoma elimu ya juu wanahitaji majina matatu lkn huku awali wao wanataka majina mawili tu hivyo kuna mazingira mengi yanayofanya majina yakosewe.
 
Daahh, limenikuta sasa hili.
Majina ya mama kwenye cheti changu cha kuzaliwa, surname ni tofauti na kwenye ID ya kura(na ndio ID pekee aliyonayo).
Kwahiyo imekuaje kadi amepata au lah?
 
Kwahiyo imekuaje kadi amepata au lah?
Kadi alipata ila baada ya kuwaeleza kwa undani kuhusu huo utofauti.

Wakaniagiza nipeleke NIDA, nikafanikiwa kuwapelekea namba ya NIDA wakaenda kuhakikisha jina na Babu kama linafanana kati ya NIDA na Voter ID.

Voter ID iliandikwa hivi: MWANACHAMA M SIMJUI, then kwenye Cheti changu cha kuzaliwa hiyo herufi M iliandikwa kwa kirefu, mfano MAMU.

Sasa kwenye AFFIDAVIT ambayo walisema hawaipokei, ilielezea majina kamili ya mama ambayo hayana kifupisho cha herufi M katikatika, pia cheti changu cha kuzaliwa, jina la mama limeandikwa kwa kirefu.

Wakaniambia lete namba ya NIDA ili tuhakiki kama hilo jina la katikati la mama linafanana na hilo ninalowaeleza, nilipowapelekea hiyo namba wakaenda kuangalia kwenye database ya NIDA wakakuta hiyo M inaonesha jina sawa na lililopo kwenye cheti changu cha kuzaliwa.

Pia taarifa zingine kama sehemu anapoishi mama zikawa zinawiana na taarifa nilipozaliwa, hapo ndipo wakakubali kupokea na kuprocess kadi.
 

Kama ndio utetezi wa NHIF huu basi ni msiba mzito.
Bima ni kamari,haiwezi hata siku moja kuwa na upande unaopata faida moja kwamoja kuna wakati wa neema na wakati wa kiangazi kila upande.

Ili ufanye biashara hiyo lazima urekebishe mtizamo wako kwanza kuhusu faida,vinginevyo achana nayo kabisa.

Tatizo la taasisi za ccm,Zina wanamikakati vilaza,lakini zinategemea matokeo bora.
 
Doh afadhali hivyo....mimi jina la tatu la wazaz wote wawil ni tofauti na NIDA sjui watakubali
 
Ilivyo waTz tunatabia za WIZI saana yaani uhuni wa hovyo...
Mtu anatumia kadi haimuhusu, mtu kilaleo anaumwa na kuchukuwa dawa kumbe anaenda kuziuza kwenye pharmacy!
NHIF lazima iwe makini KUONDOA WIZI mkubwa lasivyo itafdli jumla.
Mfumo huu kwawenzetu uko vizuri maana wengi ni waaminifu
 
Doh afadhali hivyo....mimi jina la tatu la wazaz wote wawil ni tofauti na NIDA sjui watakubali
Kajaribu kuwaeleza wanaweza kukubali.

Watumishi wa kawaida wasipokuelewa na kukataa, omba ukaongee na Manager wala usiogope
 
uwezo wako wa akili una tia mashaka sana

kuna watu wamekosewa majina kwa waalimu kuandika kimakosa

kuna watu wamekosewa majina kwa walio waandikisha kukosea

akili yako inahisi watu wanapenda kosea majina yao maksud pumbavu
Hapo NHIF ndo ilikosea?????

Kama jina lako lilikosewa kwa kutokuwa makini usiilaumu NHIF walaumu waliolikosea.

That's your stupidity not NHIF
 
Wewe ndo huna akili kabisaaaaaaaa.

Ilaumu papuchi yako iliyokufanya ubadili jina la baba yako alokuzaa na kuanza kutumia jina la mmeo.
 
Strategy insurance wapo vizuri, mpaka Agha khan unatibiwa.

NHIF Agha Khan not accepted na Agha Khan ndio hospital Private number one Tanzania.
Strategy wapo vizuri kwa watu wa miji mikubwa sio mikoani, hawachagui wanalipia gharama zozote zile ila wanavifurushi vyenye ukomo

Mfano kifurushi cha Muhusika anawekewa 5M kwa mwaka na tegemezi wanawekewa 1M kwa mwaka

Ukiwa unakwenda hospitali kubwa za private kama Agha Khan bei zao zimeshiba, kifurushi kinaweza kukata kabla mwaka haujaisha ukaanza kutumia hela yako mfukoni

Watu wanaipenda NIHF japokua kuna baadhi gharama hailipii lakini ipo karibu kwenye hospitali zote bongo na haina ukomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…