Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,490
- 1,881
Mkuu, japo umeamdika kwa ugupi sana, asante sana kwa elimu hii muhimu.Sasa swala lako linakuwa directed directly kwa waziri wa afya maana yeye ndio muhusika mkuu wa wizara husika. NHIF ni mlipaji wa huduma za huduma zilizotolewa na mtu wa afya na si elimu yake. Kwampaka sasa serikari imejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya hizo ni first step na vyote hivyo zipo chini ya wizara ya afya ila hazijafikia hatua kutoa huduma za kibingwa kule hivyo no specialized procedures au surgeries daktari bingwa atazifanya kule, yeye anafanya huduma ya MD ndio maana mwisho wa siku anamleta mgonjwa Muhimbili kwa matibabu hamtibii kule. Nikukumbushe NHIF inalipa huduma zilizotolewa na si elimu yako huwezi fanya craniotomy kule wala prostatectomy . Sasa wewe umetoa huduma ya normal Medical doctor, unataka ulipwe as a specialist in what sense kwasababu ya elimu yako, hebu tumia akili sasa, amekuja akamuexamine mgonjwa akamrefer mgonjwa as a normal MD does, hakumtibu unataka alipwe as a specialist why?? Nhif ndio isogeze huduma za afya just by misuse of funds wakati kinachotolewa sio huduma za kibingwa.
Pili shika naujue outreach services zikifanywa lengo ni msaada sio mapato, hivyo zikipangwa kufanya zinakuwa zimejigharamikia kila kitu hadi daktari pesa yake ya kumlipa. Sisi sio wakwanza kufanya outreach services, wapo Amref flying doctors wapo World vision na wengineo. Ushawahi sikia wanahitaji gharama za serikari kugharamikiwa in what sense enhee wasio na bima hawapati hiyo service basi hiyo sio outreach ni kitu kingine. Jua hili, kila kitu cha afya kinamuongozo wake na NHIF ni mlipaji wa huduma sio zaidi ya hapo hajapewa mamlaka zaidi ya hayo vingine ni wizara ya afya unachoshindwa kuelewa nikipi hasa.
Ukiwa na muda, tafadhali shusha uzi wa ufafanuzi wote juu ya haya yote uliyoyatolea ufafanuzi kwa ufupi.
UMEJIBU HOJA VIZURI SANA