NHIF kaeni mbali na mchakato wa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote

Mi nadhani umeeleza vizuri sana, isipokuwa kuna watu wanalazimisha kushinda urgument bila kuwa na sababu za msingi.

Malpractice ni eneo kubwa kwa mamlaka kulifanyia kazi, tunaona nchi zilizoendelea kuna kampuni nyingi za bima hizi za malpractice. Mimi ningekuuliza wewe Hapa Tanzania kuna aina hii ya bima kwa wanataaluma? Au je tuna wana sheria wa kushughulika na hizi Malpractice yaani specifically medical Malpractice Lawyers?

Labda kunge kuwa na prosecutor wa kushitaki kila medical malpractice ingesaidia watu wabishi kufuata miongozo ya utoaji huduma bila mihemko. Kuwa MD pekee sidhani kama inatosha kufanya procedure zote bila vifaa muhimu kuwepo. Hata specialist anahitaji specified tools and equipments to perform certain procedure, siyo kwa sababu tu ana ujuzi huo basi naweza kufanya procedure popote bila vifaa muhimu kulingana na mahitaji ya hiyo procedure.

Umerudia mara nyingi sana NHIF siyo mtoa huduma ni mlipaji wa huduma, lakini nadhani kuna watu hawataki kuelewa au ndio kutaka kuonekana wanajua basi waendelee kubishana.
 
Hujauliza upasuaji wa namna gani au tatizo gani.
Daktari kama umekariri vile?!
Ngoja nisikubishie mdau wa miongozo kwa maaana wewe ni daktari Mimi siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…