NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

Kwa mujibu wa CAG,shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B,kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa,na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule.

Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa za malipo,pesa nyingi zinapotea kupitia fomu za malipo ya matibabu.

Fomu hizo huwa zinaweza kuwa duplicated tena wahakiki wanaweza kujua lakini dili linapigwa,ni kitu kisichowezekana mfano form 400 zinahakikiwa na watu ,unawaamini vipi?, ipi efficiency yao,ni uzembe kama sio mchongo .

MAPENDEKEZO.
NHIF isitishe kutumia fomu za karatasi kurekodi huduma alizopewa mgonjwa na kuandika gharama zake pale,waunde mfumo wa kompyuta ama wa uboreshe huo walio nao ambapo utakuwa ukiretrive data moja kwa moja kutoka hospitali husika,na mfumo huo uwe na uwezo wakufilter wenyewe duplication zozote zile ambazo zitajitokeza kwa namna moja ama nyingine,mfumo ndio ufanye hesabu na sio watu,mfumo ndio uhakiki na sio watu.

Ikibidi NHIF waunde mfumo wao maalumu wa huduma za afya ambao watakuwa wakitoa katika kila hospital ambayo wameingia nayo makubaliano kufanya biashara,mfumo huo utakuwa na uwezo wa kuonesha huduma ambazo zipo katika makubaliano tu na hospital husika,mfumo uwe na uwezo wa kupiga hesabu wenyewe,mtu wa billing wa hospital husika atakuwa na uwezo wa kuangalia jumla ya huduma zilizotolewa hatukuwa na uwezo wa kuongeza chochote ,utamsaidia yeye kufanya hesabu zake za ndani nakutunza data.

Haya makosa ni ya mchongo

Kama kuna maofisa wa NHIF WAPO huku basi andaeni fungu niwaandalie idea namna muunde mfumo wenu kama mmeshindwa.

Ni hasara za kizembe
Shida waanze na huko ofisi zao wenyewe hapo kuna dili kati ya wafanyakazi wa NHIF na wamiliki wa hosp,huwez sema eti una muhasibu wa NHIF halafu anaona malipo hewa anatulia uhuni tu
 
Dili zote hutengenezwa na wahakiki wa fomu,fomu zinafanyiwa duplication hii ndio wanaitumiansana,utakuta kuna fomu 200,lakini zinajazwa 400
 
Kwa mujibu wa CAG,shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B,kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa,na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule.

Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa za malipo,pesa nyingi zinapotea kupitia fomu za malipo ya matibabu.

Fomu hizo huwa zinaweza kuwa duplicated tena wahakiki wanaweza kujua lakini dili linapigwa,ni kitu kisichowezekana mfano form 400 zinahakikiwa na watu ,unawaamini vipi?, ipi efficiency yao,ni uzembe kama sio mchongo .

MAPENDEKEZO.
NHIF isitishe kutumia fomu za karatasi kurekodi huduma alizopewa mgonjwa na kuandika gharama zake pale,waunde mfumo wa kompyuta ama wa uboreshe huo walio nao ambapo utakuwa ukiretrive data moja kwa moja kutoka hospitali husika,na mfumo huo uwe na uwezo wakufilter wenyewe duplication zozote zile ambazo zitajitokeza kwa namna moja ama nyingine,mfumo ndio ufanye hesabu na sio watu,mfumo ndio uhakiki na sio watu.

Ikibidi NHIF waunde mfumo wao maalumu wa huduma za afya ambao watakuwa wakitoa katika kila hospital ambayo wameingia nayo makubaliano kufanya biashara,mfumo huo utakuwa na uwezo wa kuonesha huduma ambazo zipo katika makubaliano tu na hospital husika,mfumo uwe na uwezo wa kupiga hesabu wenyewe,mtu wa billing wa hospital husika atakuwa na uwezo wa kuangalia jumla ya huduma zilizotolewa hatukuwa na uwezo wa kuongeza chochote ,utamsaidia yeye kufanya hesabu zake za ndani nakutunza data.

Haya makosa ni ya mchongo

Kama kuna maofisa wa NHIF WAPO huku basi andaeni fungu niwaandalie idea namna muunde mfumo wenu kama mmeshindwa.

Ni hasara za kizembe

Kwa sasa mfumo huu upo, nadhani walianza na vituo vyenye wateja wengi. Suala ni kasi ya utekelezaji.
Wanaita online claims submission.

Unapomhudumia mgonjwa, submission inatakiwa ifanyike ndani ya saa 24. Pia mgonjwa hutumiwa ujumbe wa gharama alizotumia kwa kituo Z kwenye simu yake. Na anahimizwa kutoa taarifa kama gharama hiyo si halisia.

Labda liwe ni swala la some modifications na implementation speed up.

Otherwise, ukimtafuta nyoka anzia miguuni kwako.
 
Si wanajua ofisi zilizoiba kwanini wasidhilazimishe hospital husika zirufishe pesa husika..Kwanini wanazungukazunguka.Kwanini Mkurugenzi na board ya NHIF bado iko kazini Hadi sasa??
 
Kwa mujibu wa CAG,shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B,kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa,na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule.

Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa za malipo,pesa nyingi zinapotea kupitia fomu za malipo ya matibabu.

Fomu hizo huwa zinaweza kuwa duplicated tena wahakiki wanaweza kujua lakini dili linapigwa,ni kitu kisichowezekana mfano form 400 zinahakikiwa na watu ,unawaamini vipi?, ipi efficiency yao,ni uzembe kama sio mchongo .

MAPENDEKEZO.
NHIF isitishe kutumia fomu za karatasi kurekodi huduma alizopewa mgonjwa na kuandika gharama zake pale,waunde mfumo wa kompyuta ama wa uboreshe huo walio nao ambapo utakuwa ukiretrive data moja kwa moja kutoka hospitali husika,na mfumo huo uwe na uwezo wakufilter wenyewe duplication zozote zile ambazo zitajitokeza kwa namna moja ama nyingine,mfumo ndio ufanye hesabu na sio watu,mfumo ndio uhakiki na sio watu.

Ikibidi NHIF waunde mfumo wao maalumu wa huduma za afya ambao watakuwa wakitoa katika kila hospital ambayo wameingia nayo makubaliano kufanya biashara,mfumo huo utakuwa na uwezo wa kuonesha huduma ambazo zipo katika makubaliano tu na hospital husika,mfumo uwe na uwezo wa kupiga hesabu wenyewe,mtu wa billing wa hospital husika atakuwa na uwezo wa kuangalia jumla ya huduma zilizotolewa hatukuwa na uwezo wa kuongeza chochote ,utamsaidia yeye kufanya hesabu zake za ndani nakutunza data.

Haya makosa ni ya mchongo

Kama kuna maofisa wa NHIF WAPO huku basi andaeni fungu niwaandalie idea namna muunde mfumo wenu kama mmeshindwa.

Ni hasara za kizembe
Ukiangalia hizo pesa wanazosema wamepoteza, wao NHIF ndio waliziokoa baada ya kufanya uchunguzi. Shida wakaguzi wa CAG wakifika sehemu hukimbilia ready-made report na ku copy n paste.
 
Kwa mujibu wa CAG,shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B,kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa,na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule.

Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa za malipo,pesa nyingi zinapotea kupitia fomu za malipo ya matibabu.

Fomu hizo huwa zinaweza kuwa duplicated tena wahakiki wanaweza kujua lakini dili linapigwa,ni kitu kisichowezekana mfano form 400 zinahakikiwa na watu ,unawaamini vipi?, ipi efficiency yao,ni uzembe kama sio mchongo .

MAPENDEKEZO.
NHIF isitishe kutumia fomu za karatasi kurekodi huduma alizopewa mgonjwa na kuandika gharama zake pale,waunde mfumo wa kompyuta ama wa uboreshe huo walio nao ambapo utakuwa ukiretrive data moja kwa moja kutoka hospitali husika,na mfumo huo uwe na uwezo wakufilter wenyewe duplication zozote zile ambazo zitajitokeza kwa namna moja ama nyingine,mfumo ndio ufanye hesabu na sio watu,mfumo ndio uhakiki na sio watu.

Ikibidi NHIF waunde mfumo wao maalumu wa huduma za afya ambao watakuwa wakitoa katika kila hospital ambayo wameingia nayo makubaliano kufanya biashara,mfumo huo utakuwa na uwezo wa kuonesha huduma ambazo zipo katika makubaliano tu na hospital husika,mfumo uwe na uwezo wa kupiga hesabu wenyewe,mtu wa billing wa hospital husika atakuwa na uwezo wa kuangalia jumla ya huduma zilizotolewa hatukuwa na uwezo wa kuongeza chochote ,utamsaidia yeye kufanya hesabu zake za ndani nakutunza data.

Haya makosa ni ya mchongo

Kama kuna maofisa wa NHIF WAPO huku basi andaeni fungu niwaandalie idea namna muunde mfumo wenu kama mmeshindwa.

Ni hasara za kizembe
Wapunguze na maofisi ya mikoa, kanda. Wanapangisha maofisi, mengine majumba ya viongozi kwa kodi maradufu. Halafu wanatuambia eti hatua walizochukua ni kufuta vifurushi vya watoto na wanafunzi , kwa uozo huu warudishe tu watoto wetu wajengwe afya njema.
 
Wizi serikalini hautapungua mpaka hatua kali zichukuliwe.

1) kuuwawa wezi wa mali za serikali.

2) kutaifishwa mali zao zote, wao na washirika wao, wawemo au wasiwemo serikalini.

3) Tuanzie na sehemu ambazo ndiyo wamepewa majukumu ya kuzuwia hayo, kama vile polisi, takukuru, uwt na vyombo vyote vya ulinzi.
Ukifanya hivyo watasema we dikteta, sijui mara ooh haambiliki, mbabe na majina kibao. Wanaona sheria ikiwabana wao basi ifutwe, sijui hata wanataka nn hawa?
 
Wizi serikalini hautapungua mpaka hatua kali zichukuliwe.

1) kuuwawa wezi wa mali za serikali.

2) kutaifishwa mali zao zote, wao na washirika wao, wawemo au wasiwemo serikalini.

3) Tuanzie na sehemu ambazo ndiyo wamepewa majukumu ya kuzuwia hayo, kama vile polisi, takukuru, uwt na vyombo vyote vya ulinzi.
Nakuunga mkono asilimia zote. Nashangaa mtu anafungwa jela maisha kwa kukutwa na madawa ya kulevya au kubaka lakini ambaye anahujumu mfuko wa afya ya jamii anachekewa ile hali watu watakuja kupatwa na maradhi na mfuko utashindwa kuwalipia gharama za matibabu na wametoa michango yao bila shida.

Tukiendelea kucheka na nyani mwisho wetu hautakuwa mzuri.
 
Wizi serikalini hautapungua mpaka hatua kali zichukuliwe.

1) kuuwawa wezi wa mali za serikali.

2) kutaifishwa mali zao zote, wao na washirika wao, wawemo au wasiwemo serikalini.

3) Tuanzie na sehemu ambazo ndiyo wamepewa majukumu ya kuzuwia hayo, kama vile polisi, takukuru, uwt na vyombo vyote vya ulinzi.
Huyu sasa ndiye FaizaFox yule wa enzi hizooo...I concur with you madam!
 
Mfano si wapo wameshatajwa na wamejulikana, tuanze na haohao.

Tena iwe hakuna kucheleweshwa, kama uchunguzi umeshafanywa na CAG, iwe kama traffic case tu, adhabu inatekelezwa hapohapo haina haja hata ya kuwafikisha mahakamani.
Nyie nyie ndo mtakuja kulalamika humu kwamba wameonewa, mara rais dikteta
 
Wizi serikalini hautapungua mpaka hatua kali zichukuliwe.

1) kuuwawa wezi wa mali za serikali.

2) kutaifishwa mali zao zote, wao na washirika wao, wawemo au wasiwemo serikalini.

3) Tuanzie na sehemu ambazo ndiyo wamepewa majukumu ya kuzuwia hayo, kama vile polisi, takukuru, uwt na vyombo vyote vya ulinzi.
Leo dada umetema madini balaa bila shaka utakuwa umefuturia uji wa dengu ..
Hiyo point namba moja ndo mhimu
 
Sasa hasara ya 204bn kwa shirika, kisa malipo hewa, duplication ya malipo; nani anawajibika? Nani anawajibishwa?

204bn kama hasara ya mwaka mmoja, ni sawa na sh 50,000 ngapi zile za Toto Afya?

Naunga mkono hoja
Kifupi NHIF ni wezi wakubwa kwa mali ya umma,kurudia fomu mara mbili na malipo hewa ni jambo la kawaida kwao. Tanzania Heart Institute wakati wa uhai wake ilikataa jambo hilo na baadhi ya fedha wanagoma kulipa kisa wamenyimwa matakwa yao. Nimekuwepo hospitali najua baadhi ya michezo yao,wezi wakubwa na walistahili kunyongwa tu.Nyerere alikosea kutojifunza kwa Mao wa China enzi hizo,nchi ingekuwa imenyooka kiasi.
 
Wizi serikalini hautapungua mpaka hatua kali zichukuliwe.

1) kuuwawa wezi wa mali za serikali.

2) kutaifishwa mali zao zote, wao na washirika wao, wawemo au wasiwemo serikalini.

3) Tuanzie na sehemu ambazo ndiyo wamepewa majukumu ya kuzuwia hayo, kama vile polisi, takukuru, uwt na vyombo vyote vya ulinzi.
Safi sana
 
Back
Top Bottom