NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

Huu mfuko aliunajisi Magu,alichota pesa nyingi sana kipindi cha utawala wake,akashindwa kuustabilize
Kwa hiyo hasara ya billioni 204 iliyotengenezwa mwaka jana Magufuli akikuwepo.

Magufuli ndio sehemu ya management ya NHIF inayochezea mifumo ya mapato.

Ebu muwe mnasoma kwanza hizo reports zinasema nini na za mwaka gani.
 
Soma nilichokiandika ukielewe ndio utaelewa,naona wewe sio mfuatiliaji ,,NHIF imeanza kuyumba kwa kasi kuanzia 2019,,fuatilia ripoti ya CAG ya 2018/2019,2019/2020,2020/2021,2021/2022 kuyumba kwake ni baada ya serikali kukopa NHIF kwa amri yake kinyume na utaratibu halafu pesa hizo hazikurudi,,kuanzia hapo haikuwahi kuwa stable,,lakiji hoja yangu yamsingi katika mada mama ni hiyo hasara ya kizembe na sio hiki kilicho kuja baada ya hapo
 
Hii NHIF ndiyo taasisi ya serikali mbovu kuliko zote. ivunjwe ianzishwe upya, wafanyakazi wapya na kila kitu kifanyike electronically bila zile form zao.
 
Soma nilichokiandika ukielewe ndio utaelewa,naona wewe sio mfuatiliaji ,,NHIF imeanza kuyumba kwa kasi kuanzia 2019,,fuatilia ripoti ya CAG ya 2018/2019,2019/2020,2020/2021,2021/2022 kuyumba kwake ni baada ya serikali kukopa NHIF kwa amri yake kinyume na utaratibu halafu pesa hizo hazikurudi,,kuanzia hapo haikuwahi kuwa stable,,lakiji hoja yangu yamsingi katika mada mama ni hiyo hasara ya kizembe na sio hiki kilicho kuja baada ya hapo
Hakuna mtu alielipa madeni ya pension funds kama Magufuli, waambie wakwambie ukweli. Bila ya yeye ingeshajifia siku nyingi kutokana na uwekezaji wa miradi isiyo na tija na low return.

Halafu soma mada vizuri inazingumzia hasara ndani ya mwaka vis-a-vis, income minus expenditure ndani ya mwaka.

Nothing to do na mikopo wanayodai serikali, toka lini mikopo ikawa hasara.
 
Hivi wewe Nunda ,ama mvivu wa kusoma ukaelewa,mbona unauliza maswali ambayo majibu yapo hapo,,,Self justification is some thing very complicated unless you are matured enough.Hebu jadili hoja zilizopo katika mada kuu,
 
Hoja gani ulizokuwa nazo zaidi ya porojo.

Mkopo auwezi kuwa hasara kwa sababu unatoa hela kwenye capital reserve, punguzo unaliweka kama debentures kwenye sehemu hiyo hiyo ya equity; nothing changes on the balance sheet.

Mbona jambo jepesi sana.

Umeshaambiwa hasara, maana yake ni operational issue ya mwaka husika; income minus expenses na ufisadi mwingine alio-orodhesha CAG ndio tunajadili hapa.
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Hao NHIF hawana maana, wanaweka vigingi watu wasiingize wategemezi kwenye nafasi zao kwa visingizio kibao mara huyu siyo mtoto wako majina hayafanani, mara hiki mara kile, kumbe sababu ni kwamba wanafisadi pesa za mfuko.

Hii NHIF ingeweza kuendeshwa na watu wachache tu wa utawala, wataalamu wa IT, na wahasibu. Kuliko sasa wamejazana watumishi kibao na wanapeana vyeo sijui umeneja hivyo pesa nyingi badala ya kwenda kuhudumia wachangiaji zinaenda kulipa mishahara na posho za watumishi na ufisadi juu.

Ukienda pale mapokezi yao kazi yao ni kukwamisha kila mtumishi anayetaka kuingiza wategemezi wake kwenye mfuko kwa visababu uchwara, STUPID!!​
 
Nhif hiyo hiyo ukitafuta Mzungu ajae awe CEO utashangaa haipati hasara ...

Wafanyakazi hapo wanafanya fraud

Mkuu
Hii awamu inayoupiga mwingi imefeli au tafsiri itakua ipi kama tukiajiri watu wa nje?
 
Nchi inasikitisha sana!!
Tatizo watu mnasahau fedha za mifuko hii hukopwa na Serikali muda mwingine wanaogopa tu kusema ukweli,lakini bado najiuliza mwanachama asipougua mwaka mzima pesa yake huenda wapi?
 
Mliambiwa someni enzi hizo mkaona Bora kukimbia umande Sasa wenzenu wanakula mnaanza kulalama
 
Back
Top Bottom