NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

Halafu wanakazi ya kubania wanachama huduma!

Utaambiwa kipimo hicho hakilipiwi na NHIF,

Dawa hizo hazilipiwi n.k

Kumbe wenzetu wanatumbua?!
 
Polisi? Hawa walioibiwa 4 billions.
 
Huyo mkaguzi wa ndani wa hesabu wa NHI bado tu hajafikushwa mahakamani na timu yake ya uhasibu?
 
Mfano si wapo wameshatajwa na wamejulikana, tuanze na haohao.

Tena iwe hakuna kucheleweshwa, kama uchunguzi umeshafanywa na CAG, iwe kama traffic case tu, adhabu inatekelezwa hapohapo haina haja hata ya kuwafikisha mahakamani.
Nonsense
 
Mambo mengine yakujitakia.

Wizara ilikuwa na waziri well trained kwenye maswala ya health management.

Ana uwezo wa kuingia hospitali akiamua kuwapiga audit hapo hapo anaweza akabaini invoices fake za wagonjwa ambao awapo, kuona sources za multiple entries za wagonjwa. Sio hadithi ashaonyesha uwezo huo live watu wanabaki wanajiuma-uma hawana majibu.

Hayo mambo yangewasaidia NHIF kupigwa kishamba maana vituo vya afya vingeelewa akija waziri kukagua hapo ni shida nyingine.

Waziri anajua matumizi ya inventory control ya dawa kuhakikisha hakuna upotevu na zinatumika kwa wakati, angeweza isimamia MSD vizuri ashafanya ivyo live mwanza walitaka kumuongopea stock levels za dawa.

Better still huko kwenye quality of health service delivery ndio level nyingine kwa manufaa ya watumia huduma maana ni medical doctor by profession.

Angeweza wapigania kwenye health insurance cover kwa sababu ana abc za accounting anaonekana. Kama kaonyesha uwezo wa kufanya auditing na kubaini uzembe wa mifumo. Basi ata NHIF pia kwenye kusimamia mapato yao Angelina na kuelewa sababu za kupata hasara, mifumo yao ya usimamizi ni mibovu. Uzembe wao wa kusimamia rasimali fedha ndio sababu ya kubadili bei za insurance coverage ili kufidia hasara zao kwa uzembe wa management mwisho wa siku zigo anatumiwa mteja.

Mnakwenda kumtukana waziri gani anaropoka tu, sijui anakunywa dawa za asili za covid, atolewe hapo. Mnamtaka nani awekwe limbukeni asiejua lolote kuhusu health management, wala medical practice.

Akili za watanzania kwa ujumla is beyond me, sasa leo mnashangaa nini wakati mkipewa watu wenye uwezo mnawatukana. Mama wa watu kaamua atulie zake huko wizara ya social service na kufura tu maana uwezo wake halisi amuutaki.

Unavuna ulichopanda na sio kingine, haya mambo ni ya kujitakia.
 
Kama hasara ishatokea tuwapeni muda makosa yatarekebishika
Nani ambaye hajawahi kukosea!
 
Wakosoaji wakubwa wa mfuko wa bima wengi wao sio watumiaji wa bima ndio maana hamjui faida za bima.. lkn twende mbele turudi nyuma mfuko wa bima wa taifa unawakomboa wengi
Tutumie tuchangie mfuko tuache siasa hakuna mahali kitu kinaweza fanyika pasipo short kutokea, mengi mazuri yanakuja
 
Wewe ni mpumbavu
 
Naomba wote wanaotumia hizi card watumie kwenye hospital za serikali tu
 
Kwani hapa tumokosoa uwepo wa huo mfuko? Omba ueleweshwe kama hujaelewa
 
Huu mfuko aliunajisi Magu,alichota pesa nyingi sana kipindi cha utawala wake,akashindwa kuustabilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ