Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwa hiyo hasara ya billioni 204 iliyotengenezwa mwaka jana Magufuli akikuwepo.Huu mfuko aliunajisi Magu,alichota pesa nyingi sana kipindi cha utawala wake,akashindwa kuustabilize
Soma nilichokiandika ukielewe ndio utaelewa,naona wewe sio mfuatiliaji ,,NHIF imeanza kuyumba kwa kasi kuanzia 2019,,fuatilia ripoti ya CAG ya 2018/2019,2019/2020,2020/2021,2021/2022 kuyumba kwake ni baada ya serikali kukopa NHIF kwa amri yake kinyume na utaratibu halafu pesa hizo hazikurudi,,kuanzia hapo haikuwahi kuwa stable,,lakiji hoja yangu yamsingi katika mada mama ni hiyo hasara ya kizembe na sio hiki kilicho kuja baada ya hapoKwa hiyo hasara ya billioni 204 iliyotengenezwa mwaka jana Magufuli akikuwepo.
Magufuli ndio sehemu ya management ya NHIF inayochezea mifumo ya mapato.
Ebu muwe mnasoma kwanza hizo reports zinasema nini na za mwaka gani.
Hakuna mtu alielipa madeni ya pension funds kama Magufuli, waambie wakwambie ukweli. Bila ya yeye ingeshajifia siku nyingi kutokana na uwekezaji wa miradi isiyo na tija na low return.Soma nilichokiandika ukielewe ndio utaelewa,naona wewe sio mfuatiliaji ,,NHIF imeanza kuyumba kwa kasi kuanzia 2019,,fuatilia ripoti ya CAG ya 2018/2019,2019/2020,2020/2021,2021/2022 kuyumba kwake ni baada ya serikali kukopa NHIF kwa amri yake kinyume na utaratibu halafu pesa hizo hazikurudi,,kuanzia hapo haikuwahi kuwa stable,,lakiji hoja yangu yamsingi katika mada mama ni hiyo hasara ya kizembe na sio hiki kilicho kuja baada ya hapo
Hivi wewe Nunda ,ama mvivu wa kusoma ukaelewa,mbona unauliza maswali ambayo majibu yapo hapo,,,Self justification is some thing very complicated unless you are matured enough.Hebu jadili hoja zilizopo katika mada kuu,Hakuna mtu alielipa madeni ya pension funds kama Magufuli, waambie wakwambie ukweli. Bila ya yeye ingeshajifia siku nyingi kutokana na uwekezaji wa miradi isiyo na tija na low return.
Halafu soma mada vizuri inazingumzia hasara ndani ya mwaka vis-a-vis, income minus expenditure ndani ya mwaka.
Nothing to do na mikopo wanayodai serikali, toka lini mikopo ikawa hasara.
Hoja gani ulizokuwa nazo zaidi ya porojo.Hivi wewe Nunda ,ama mvivu wa kusoma ukaelewa,mbona unauliza maswali ambayo majibu yapo hapo,,,Self justification is some thing very complicated unless you are matured enough.Hebu jadili hoja zilizopo katika mada kuu,
Nhif hiyo hiyo ukitafuta Mzungu ajae awe CEO utashangaa haipati hasara ...
Wafanyakazi hapo wanafanya fraud
Nhif hiyo hiyo ukitafuta Mzungu ajae awe CEO utashangaa haipati hasara ...
Wafanyakazi hapo wanafanya fraud
Tatizo watu mnasahau fedha za mifuko hii hukopwa na Serikali muda mwingine wanaogopa tu kusema ukweli,lakini bado najiuliza mwanachama asipougua mwaka mzima pesa yake huenda wapi?Nchi inasikitisha sana!!