NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=


Covax, ni kweli tuna kawaida sana ya kulalamika lakini sidhani ni sahihi kudhani tabia hiyo ndio msingi wa malalamiko!! Sio kwa sababu ya kulalamika ndio tunalalamika! Kwa jinsi madawa yanavokuwa hayapatikani au magonjwa kutolipiwa bima, ongezeko lolote lisiloendana na uboreshaji wa huduma - ni wizi!! Ndicho kinacholalamikiwa na wengi hapa japo wengi wameshindwa kukieleza.

Unazungumzia gharama ya juu ya bima za wenzetu - je gharama hizo zinawiana na kiwango cha bima??? Nadhani jibu litakuwa ni NDIYO. Je ukiondoa hili ongezeko, kuna guarantee imetolewa kuhusu uboreshaji au upatikanaji wa huduma???
 
Ndo umuulize mtoa mada amekitoa wapi, maana NHIF wameifuta kabisa, sisi wengine twatibiwa watoto wetu hadi ikifika mwisho wake ndo kwa heri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Toa hiyo amount ambayo analipa mzazi pamoja na mtoto mmoja kwa amount ambayo analipa mzazi peke yake
 
Duh
 
Hakuna Serikali ni rafiki ya maskini, tutafute hela.
Ukiona kiongozi wa Serikali anawakenulia bodaboda ama wapika wali ujue ana jambo lake.
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
Mwananchi huyu anae shindwa kumnunulia mtoto sare ya shule, ndie anae ambiwa alipe bima ya familia. Mwananchi huyu anae kula mlo mmoja ndie alipe bima ya afya. Mwananchi snae katwa tozo hata kwenye pesa akiyo tumiwa na mwanae ndie akate bima ya afya. Huku wanao agiza haya wako kwrnye V8 inayo jazwa mafuta na mlala hoi.
Bima ana lipiwa na mlala hoi.
Ccm imefikia mwisho wa kufikiri. Tuna hitaji mawazo mbadala.
 
Mbona hata hiyo 120,000/= yenyewe siioni kwenye jedwali?
Toa hiyo amount ambayo analipa mzazi pamoja na mtoto mmoja kwa amount ambayo analipa mzazi peke yake
 
Katiba haiwezi saidia lolote kwenye nchi yenye wajinga wengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Katiba mpya inayopiganiwa Tanzania ni kwaajili ya wanasiasa wagawane keki vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa hiyo amount ambayo analipa mzazi pamoja na mtoto mmoja kwa amount ambayo analipa mzazi peke yake
Kwa ufupi hakuna package ya mtoto peke yake iwapo hapitii bima ya shuleni
 
Lazima watu washiuke
 
Wale wanaomuita Rais "MAMA"sijui wanaliongeleaje suala la mtoto wa maskini kupandishiwa Bei ya bima na mama Yao😳😳😳😳

Naamini maridhiano hayahusiani na masuala haya ya maskini 😠😠
 
Hivi kwanini waTz wenye cheo lwenye kampuni/taasisi au shirikabla kigeni hapa Tz hupenda kuwa kandamiza wa tz wenzao.. unakuta wanawaambiabwazungu/wageni hata mishahara na some benefits wazitoe /wapunguze kabisa..
 
Hili jopo lililopitisha hii ni la watanzania kweli?

Mfuko hauna hela, beneficiaries wanataka huduma bora, wao wameona kwa faster wapandishe bei ili mapato ya pande juu! Burden inaenda kwa mwananchi! Hatari!
 

Mkuu umenikumbusha kwa miaka mingi sijasikia tukitangaziwa mapato yatokanayo na;

- Madini
-Gesi asili
-Mali asili na utalii

Ni kama tumeanza upya au mimi sielewi maana kwa sasa ni tozo, mikopo ya kutoka nje, misaada ndio vinatajwa!

Cc pascal
 
Mfuko hauna hela, beneficiaries wanataka huduma bora, wao wameona kwa faster wapandishe bei ili mapato ya pande juu! Burden inaenda kwa mwananchi! Hatari!
Watuonee huruma kwa kweli,huduma zenyewe ni tia maji tia maji haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…