Uzuri hawajalazimishwa lipiaAcha vituko basi yaani mzazi mwenye watoto 7, 8, au 5 (kumbuka ndio hali halisi vijijini huko) na wote wanasoma shule alipie kila mtoto elfu 50,400 tena kwa mwaka.
Bongo hii hii?
Mbona shule zingine zishaanza huo mfumo muda mrefuHUyo jamaa anazungumza , chekechea, primary, secondary 0&A nao wapate bima wakiwa shuleni
Inchi inaenda shimoni aisee
Unaamini hio 50400 hakuna ruzuku ya serikali?Tatizo la hii Bima ya Watoto ya shilingi elfu 50,400 tulikuwa tunachagua mno watoto wa kujiunga, yaani nina watoto watatu basi nalipia yule mtoto tu anayeumwa, sasa kwa mtindo huu lazima mfuko ungeelemewa na wagonjwa.
Yaaani ni kama una gari unasubiri ipate ajali ndiyo uikatie Bima, hapa NHIF walijitia kitanzi wenyewe.
Juzi hapo wameenda India wabunge 35 kwa safari ya kikazi.Wakumbuke kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kulipia vifurushi vya Bima. Ila wengi walijitahidi angalau watoto wao wapate Bima. Wakiunga mkono sera ya Mama mjamzito, mtoto na wazee wapate matibabu angalau bure au kwa bei nafuu. Sasa hii fall out watoto wengi hawatakuwa na Bima. Kama mzani alishindwa kujilipia vifurushi then ataweza sasa ili ambebe na watoto wake? Serikali iache visingizio vya kijinga eti inabeba mzigo mkubwa, hivi chanzo kikubwa cha mapato ya serikali si kodi wazilipazo wananchi ambao ni wazazi wa hawa watoto? Serikali haioni mzigo mkubwa inaponunua magari ya kifahari au inafanya misafara ya viongozi kuwa na magari mengi? Ila inaona mzigo kutibia watoto wa taifa letu. Taifa la kesho. Pia ikumbuke kuna watoto yatima hawa hawana wazazi bali wanalelewa na ndugu na jamaa. Hivi kwa hawa itakuwaje?
Tatzo na kuwaamsha nao hawapo maaan wamekolezwa na ASALIJukumu la kutibu raia ni la serikali. Hii watu kuchangia gharama za matibabu ni kutokana na wizi wa serikali.
Ila sasa hawa Ccm wame jisahau na wana tufanyia biashara
Mkuuu hakuna Tena serikari kuna UCHAFU tu kuanzia kilanja wao nae haelewi anafanya nni pale maana kila kitu kwake ni kigeni na huruma tena imeshatoka je ZANZIBAR NA WAO ITAWAGUSA AU HUKU TANZAGIZA????Wakumbuke kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kulipia vifurushi vya Bima. Ila wengi walijitahidi angalau watoto wao wapate Bima. Wakiunga mkono sera ya Mama mjamzito, mtoto na wazee wapate matibabu angalau bure au kwa bei nafuu. Sasa hii fall out watoto wengi hawatakuwa na Bima. Kama mzani alishindwa kujilipia vifurushi then ataweza sasa ili ambebe na watoto wake? Serikali iache visingizio vya kijinga eti inabeba mzigo mkubwa, hivi chanzo kikubwa cha mapato ya serikali si kodi wazilipazo wananchi ambao ni wazazi wa hawa watoto? Serikali haioni mzigo mkubwa inaponunua magari ya kifahari au inafanya misafara ya viongozi kuwa na magari mengi? Ila inaona mzigo kutibia watoto wa taifa letu. Taifa la kesho. Pia ikumbuke kuna watoto yatima hawa hawana wazazi bali wanalelewa na ndugu na jamaa. Hivi kwa hawa itakuwaje?
Mnyonge ni mtu ganHii ndio ilikuwa kimbilio la wanyonge wengi
Na wasiotibiwa ndio wengi kuliko wanaotibiwa kwa mwakaHata kama ingefika Milioni 40, ndio maana ni BIMA, kuna wanaotibiwa na wasiotibiwa kabisa
Barua imetoka 13/3/2023Nimelipia 10/3/2023
Vipi kuhusu watoto ambao bado hawajaanza shule , mtoto na Miaka miwili au miezi 7Asanteni NHIF mi nimependa sana utaratibu wenu wa watoto kusajiliwa kupitia shule wanazosoma aisee hii imetulia kwanza mmetuondolea usumbufu wa kufuata hiyo huduma mjini sisi tuta dili na walimu wakuuu mashuleni kwetu
Gharama ni rafiki na kwa mtoto ndio ilikuwa sahihi maana mtoto ni malaika jamani. Kwa jitu zima linaweza kuchemsha hata mwarobaini likala ila mtoto utampa mu40 kwelii?Je itarudishwa tena?
Je nikilipa kifurushi cha watoto 4 nikiongeza mtoto mchanga ataanza tibiwa na muda gani?
Binafsi naona gharama ilikuwa ndogo sana
Kwahio mtoto wangu ambaye hajaanza shule mie mzazi niumie na gharama za matibabu kila siku? 🤣Mfuko wa Bima ya Afya haujafuta Toto Afya kadi bali unafanyq maboresho katika utaratibu wa usajili ,tusome taarifa vuzuri na katika kipindi hicho mfuko umetoa utaratibu mbadala
Serikali inaona kama inatufanyia hisani kwenye hilo.Jukumu la kutibu raia ni la serikali. Hii watu kuchangia gharama za matibabu ni kutokana na wizi wa serikali.
Ila sasa hawa Ccm wame jisahau na wana tufanyia biashara
Wamesema watoto wasiosoma wapelekwe hospital za serikali matibabu ni bure au mzazi ajiunge na bima ili mtoto apateHili Ummy kalikubali kabisa??? Aisee safari ni ndefu sanaaa.. Mtoto mchanga anasoma wapi?? Sasa kuna kengee litasema watoto chini ya Miaka 5 wanatibiwa bure.. Bure ya nyokooo mbwaa weweee ushawahi kuwa hata na mtoto??? Ushawahi enda tibiwa hospital ukapewa dawa bure??? Mambo ya ovyoo sanaa hayaaa system za serikali zinasupport mambo ya ovyoo kama haya Bora wangeongeza gharama hata kidogoo sio huu upuuzi.