huo ni upuuzi unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote.Kwamba familia nzima ijiungee UWEZO NDO TATIZOO labda waweke iwe lakiView attachment 2550023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ni upuuzi unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote.Kwamba familia nzima ijiungee UWEZO NDO TATIZOO labda waweke iwe lakiView attachment 2550023
Acha porojo wewe, shule ipi kijijini yenye utaratibu huo wa kukatia bima watoto!? Huu ujinga (uchawa) uwe na mipaka siyo kwenye kila kitu. Issue ya Bima inagusa uhai (afya) za watu so pelekeni uchawa wenu kwenye siasa huko.Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu
Wameshatoa maelekezo: watoto wakatiwe Bima mashuleni (sidhani kama shule za serikali zina utaratibu huo) na kwenye vifurushi vya familia!Sipingi wala siungi mkono lakini nasubiri kitakachofata baada ya hiki ndio nitakuwa nina hoja nacho kwa sababu kabla ya kuamua hili lifanyike nadhani vilianza vikao kwanza kwa watendaji wa nhif so nawasihi tuwe na subra huenda wakaja na zuri zaidi ya hilo la mwanzo lakini endapo wakikosea tutawashauri inshallah.
Usiwafikirie wengineKwamba familia nzima ijiungee UWEZO NDO TATIZOO labda waweke iwe lakiView attachment 2550023
Binafsi mtoto hajawahi sumbuliwa rabininsiaHamnaga huduma ya bure Tanzania [emoji1241] hizo huduma za bima tu ukienda hospitali dawa unaambiwa hamna.
Watz bado wajingaBima gani duniani ulishaona mtu anaweka mdogo wake au mtoto wa mjomba kama mtegemezi? Yaaani tumezoea sana mambo ya kijamaa mno?
Hata za shuleni hawataki, wanataka wazazi wahusike.Wameshatoa maelekezo: watoto wakatiwe Bima mashuleni (sidhani kama shule za serikali zina utaratibu huo) na kwenye vifurushi vya familia!
Kifupi wananchi wamepokwa fursa ya matibabu.
NIPASHE atakuwa amejichanganya ... waandishi bwanaHata za shuleni hawataki, wanataka wazazi wahusike.
Soma Nipashe ya leo
Kwamba ameokota habari?NIPASHE atakuwa amejichanganya ... waandishi bwana
Acha ujamaa, jiangalie wewe na watoto wako.Kiwango cha chini kwa familia ya watoto wann yaani baba,mama na watoto 4 ni Tshs. 816,000/= sawasawa na kiila mmoja kuchangia 204,000/=.
Na inalipwa yote kwa mkupuo je ni mkulima gani wa chini wa kijijini ataweza kuchangia kiasi hicho cha fedha,serikali isifanye mzaha na afya za watu,hivi vifurushi bado ni ghari kwa mtanzania wa maisha ya chini.
Yaani kila mwezi mkukulima atenge 68,000/= kwaaji ya bima ya afya ataweza?
Hii ni HAPANA
AFYA KWANZA KATIBA BADAE!!
Ungeweka bronchure kueleza ipatient, out patient ni kiasi ganiHamieni Bima ya Afya ya Jubilee, Jubilee insurance inatoa bima ya Afya kwa wote inayoitwa Pamoja Afya, ambapo ina malipo ya bri nafuu sana.
Unaweza.kupata Bima ya mtu mzima mpaka miaka 70 na huduma za wagonhwa nasaa 24.
Kwa wale wa umri wa kuanzia miaka 5 hadi 70 unapata Bima yako kwa kiasi cha kuanzia
*261,000 kwa daraja la shaba,
*400,000 kwa daraja la dhahabu na *500,000 kwa daraja la Almasi.
Na unaweza kutibiwa kwenye hospital zaidi ya 200 nchi nzima.
Unapata Card yako ndani ya siku 5 za kazi, na pia unaweza kuanza kutumia kadu yako baada ya siku 30 (Mwezi mmoja).
Kwa maelekezo au uafafanuzi zaidi juu ya bima ya Afya inayotolewa na jubileevpamoja na.jinsi ya kujiunga,tafadhari wasiliana kwa number : 0752329591.
Karibuni
Huyu naye bhana... hospitali 200 ndo nn sasa. NHIF zipo zaidi ya 9000. Bold hapo 9000 mwenyewe. Ila tutaangalia kama kweli mna huduma izo za almasi maana dah.Hamieni Bima ya Afya ya Jubilee, Jubilee insurance inatoa bima ya Afya kwa wote inayoitwa Pamoja Afya, ambapo ina malipo ya bri nafuu sana.
Unaweza.kupata Bima ya mtu mzima mpaka miaka 70 na huduma za wagonhwa nasaa 24.
Kwa wale wa umri wa kuanzia miaka 5 hadi 70 unapata Bima yako kwa kiasi cha kuanzia
*261,000 kwa daraja la shaba,
*400,000 kwa daraja la dhahabu na *500,000 kwa daraja la Almasi.
Na unaweza kutibiwa kwenye hospital zaidi ya 200 nchi nzima.
Unapata Card yako ndani ya siku 5 za kazi, na pia unaweza kuanza kutumia kadu yako baada ya siku 30 (Mwezi mmoja).
Kwa maelekezo au uafafanuzi zaidi juu ya bima ya Afya inayotolewa na jubileevpamoja na.jinsi ya kujiunga,tafadhari wasiliana kwa number : 0752329591.
Karibuni
tunaoumia ni sisi watumiaji wa mwishoHii ndio ilikuwa kimbilio la wanyonge wengi