na wanapataje hasara wakati watu wanakatwa hela zao kila mwezi,basi watafutwe wazungu waje watuongoze kwani hii mifumo si ndio imeanzia kwaoKama wanaona gharama zinaongezeka na wanaibiwa na vituo vya afya Walete mfumo wa fingerprint tu Mbn kazi ndogo ya nn kuumiza kichwa
Kuna kila dalili ya ukweli wa hoja yako mkuu, ngoja tuone itakuwajewaongo hawa wameogopa kelele lkn ukienda hospital utakuta utekelezaji unaewndelea. Hii wanaita "wapoze na uwapotezee"
na kuna wengine wanaweza wasitibiwe hata mwaka 50400 ni nyingi sanana wanapataje hasara wakati watu wanakatwa hela zao kila mwezi,basi watafutwe wazungu waje watuongoze kwani hii mifumo si ndio imeanzia kwao
Kwasasa taifa linaongozwa na an incompetent person.
Mbona wa mabando hawajaogopa kelele?waongo hawa wameogopa kelele lkn ukienda hospital utakuta utekelezaji unaewndelea. Hii wanaita "wapoze na uwapotezee"
Hii nchi Ina mambo mengi sanaAisee
Zaidi ya hatari mkuuHatari sana
Hiyo 50400 ukienda polyclinic hela ya kumuona specialist, vipimo kama viwili na dawa imeisha...haina ukubwa wowote mkuu.na kuna wengine wanaweza wasitibiwe hata mwaka 50400 ni nyingi sana
Hakuna kitu kama hicho. Serikali ipo vibaya kifedha. Wanataka kusave kwenye kila kona kila senti.Samia unahujumiwa na watendaji wako . shtuka
CCM NI MAFIIBaada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo.
Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii
==============
Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF wenyewe wakionesha kuwa walikuwa na utaratibu mpya, lakini baadaye wameona umeleta utata wameufuta.
Dakika 20 baadaye taarifa ikatolewa na Wizara ya Afya kuwa wamesitisha utaratibu huo mpya, ikumbukwe kuwa awali hakuna taasisi yoyote kati ya hizo mbili iliyojitokeza kuzungumzia kuhusu utaratibu mpya.
Inamaanisha kuwa baada ya presha kuwa