Nimeacha mpenzi πππππHawachi usinichimbe hata sura yake siijui
Fifa game
Hongera zako. π Mi sijui hata kama lita mbili nafikisha kwa siku.Sikufii Mkuu mie ni lita 5 hadi sita kwa siku
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Hahaha kwahiyo ushampata wa kumchokoza..Nishajua weakness sasa ni kukuchokoza ulie hadi upasuke. Na mimi napenda sana uchokozi.
Hongera zako. π Mi sijui hata kama lita mbili nafikisha kwa siku.
Yabidi aiseee.Maji muhimu sana jitahidi uongeze unywaji.
πππ
Mkuu kunywa maji mengi sio sifa.You have to balance electrolytes levels in ur blood.Kunywa maji kiasi na hasa usiku epuka kunywa maji mengi.Mimi kufikia saa 6 mchana nakuwa nimekunywa tayari lita 3 sasa muda uliobaki hadi saa 21 usiku ni kupiga maji. Ila nikiwa sina safari ya kunifanya nikojoe hovyo.
kugegeda aiseeAisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
wow, unacheza GTA series ? au need for speed ?Mziki na games
Aliyekwambia ni sifa nani? Maji ninywe mimi kuumia uumie wewe?Mkuu kunywa maji mengi sio sifa.You have to balance electrolytes levels in ur blood.Kunywa maji kiasi na hasa usiku epuka kunywa maji mengi.
Huyu lazima alie.Hahaha kwahiyo ushampata wa kumchokoza..
Labda nguvu zikianza kupungua..Utachukia ukioa