Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu

Wakati mwingine naweza kukwambia subiri kidogo nitakupigia, ukiona kimya ujue ndio tumeshaagana havyo. Duh! Sijui kama tungeweza kuishi pamoja.
 
Mimi kufikia saa 6 mchana nakuwa nimekunywa tayari lita 3 sasa muda uliobaki hadi saa 21 usiku ni kupiga maji. Ila nikiwa sina safari ya kunifanya nikojoe hovyo.
Mkuu kunywa maji mengi sio sifa.You have to balance electrolytes levels in ur blood.Kunywa maji kiasi na hasa usiku epuka kunywa maji mengi.
 
Mimi Miraa (Gomba) hii nilijaribu kuacha nikadumu miezi 5 lakini taratibu nimerudi mzigoni
 
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..

Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..

Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
kugegeda aisee
 
Mkuu kunywa maji mengi sio sifa.You have to balance electrolytes levels in ur blood.Kunywa maji kiasi na hasa usiku epuka kunywa maji mengi.
Aliyekwambia ni sifa nani? Maji ninywe mimi kuumia uumie wewe?

Maji nitakunywa hata lita 200 per day ili mradi tu niweze kunywa.
 
Utachukia ukioa
Labda nguvu zikianza kupungua..

Ninavyokueleza hapa naishi nae pika pakua, na bado sijachoka wala kukinai, na aheri ingekuwa umri wa mwanzo ungesema balehe inanipeleka puta!! Nisharuka mnoo mpaka kuamua kutulia
 
Back
Top Bottom