Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Kuhonga mademu sijui wameniloga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nagonga lita 7+ kwa siku muda mwingine nikiwa nimetulia navuta hadi 10.
Unapiga lita ngapi kwa siku?Mie kiboko yako kwa unywaji wa maji.
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
Unapiga lita ngapi kwa siku?
Wew hunishindi mimi kwa kunywa maji 😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] No ila mimi situmii kinywaji chochote isipokuwa maji na huwa nayapiga kweli.
Kuna kipindi niliomba Bi mkubwa maji ya kuoga akasema nikachote kisimani maana yaliyokuwepo ni ya kunywa. Niliomba sana hakuelewa ila kwa vile alisema ni kunywa basi ilibidi niyanywe siku hiyo ili kumwonesha kuwa naweza kunywa maji mengi zaidi ya yale ambayo ningeoga.Duh! Sikuwezi
Umesahau mpira, hasa ule wa draft kama wa arsenal na barcaMziki na games
Kuna kipindi niliomba Bi mkubwa maji ya kuoga akasema nikachote kisimani maana yaliyokuwepo ni ya kunywa. Niliomba sana hakuelewa ila kwa vile alisema ni kunywa basi ilibidi niyanywe siku hiyo ili kumwonesha kuwa naweza kunywa maji mengi zaidi ya yale ambayo ningeoga.
Mimi kufikia saa 6 mchana nakuwa nimekunywa tayari lita 3 sasa muda uliobaki hadi saa 21 usiku ni kupiga maji. Ila nikiwa sina safari ya kunifanya nikojoe hovyo.Sikufii Mkuu mie ni lita 5 hadi sita kwa siku
Kipindi fulani nikiwa mdogo mzee wangu alikuwa akinywa sana maji nami nikaiga kwake. Nilikuwa naweza kupiga lita 3 mara moja nikiwa shule ya msingi.Duh!
Me[emoji137]Ke/Me?
Sijaona mshindani hapo. Tena Ke!Wew hunishindi mimi kwa kunywa maji [emoji3][emoji3][emoji3]
Kipindi fulani nikiwa mdogo mzee wangu alikuwa akinywa sana maji nami nikaiga kwake. Nilikuwa naweza kupiga lita 3 mara moja nikiwa shule ya msingi.