Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..

Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..

Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
 
Duh!

Kuna kipindi niliomba Bi mkubwa maji ya kuoga akasema nikachote kisimani maana yaliyokuwepo ni ya kunywa. Niliomba sana hakuelewa ila kwa vile alisema ni kunywa basi ilibidi niyanywe siku hiyo ili kumwonesha kuwa naweza kunywa maji mengi zaidi ya yale ambayo ningeoga.
 
Sikufii Mkuu mie ni lita 5 hadi sita kwa siku
Mimi kufikia saa 6 mchana nakuwa nimekunywa tayari lita 3 sasa muda uliobaki hadi saa 21 usiku ni kupiga maji. Ila nikiwa sina safari ya kunifanya nikojoe hovyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mie mpeñzi wa maji vuguvugu na pia iuingia JF yani lazima kila saa naingia... loooo!
 
Kunyonya maziwa yao hata kama simwamini najikuta nishanyonya chuchu
 
Back
Top Bottom