Ni Adhabu ipi kati ya hizi zifuatazo zinamfaa mno Abiria wa Mabasi yaendayo Mikoani ambaye hupenda Kukulalia, Kukutemea udenda yake na hadi Kujamba?

πŸ˜…πŸ˜…Alipata sofa ya nono
Sasa aendelee kulala kwenye bega gumu..
 
Ukutane sasa na mama mwenye mtoto,utasikia nenda basi uncle akubebe,mi namwombaga konda anahimeshe city kama ipo
watu wanavurugwa Sanaa na wahivyo wanakuwa na usingiz mzito anaeza alale mpk mwsho wa safari.
 
Ukutane sasa na mama mwenye mtoto,utasikia nenda basi uncle akubebe,mi namwombaga konda anahimeshe city kama ipo
πŸ˜…πŸ˜…watoto ni baraka bhn ila asikojoe tu na asiwe mchafu
 
Inategemeana na mtoto yupoje,kuna watoto wa watu waliostaarabika hata mtoto ni msafi hasumbui unafurahia kumbeba,kuna watoto wachafu ukimbeba na wewe unachafuka maana mara akae chini ,mara alie kwa kelele watu wote kwenye basi macho kwenu
[emoji28][emoji28]watoto ni baraka bhn ila asikojoe tu na asiwe mchafu
 
Inategemeana na mtoto yupoje,kuna watoto wa watu waliostaarabika hata mtoto ni msafi hasumbui unafurahia kumbeba,kuna watoto wachafu ukimbeba na wewe unachafuka maana mara akae chini ,mara alie kwa kelele watu wote kwenye basi macho kwenu
haha wanajua wew ndo baba wa mtoto wanawasikiliza nyie tu.
 
kumbe wewe ndo unaechafua mazingira njia nzima mtu unasafiri unaona vibobo njiani.huo ni uchafuzi wa mazingira
 
Watu wa hivo wanakera sana,mtu ananunua ndizi maganda anayatupia kwenye lami,akimaliza kula chips anatupia nje mfuko
kumbe wewe ndo unaechafua mazingira njia nzima mtu unasafiri unaona vibobo njiani.huo ni uchafuzi wa mazingira
 
Sijawahi kusafiri na watu wa hivyo ala ikijakutokea namchana tu kistaarabu.

Ila kuna siku nilikuwa naenda arusha kufika katesh wakapanda sijui ni wamangati wale, ile harufu waliyokuwa wanatoa sijapata kuisikia tena.
 
Reactions: rr4
Hahahaha nimecheka sana mkuu
 
Huwa ninapohisi kuegemewa tu ninamuamsha. Huko kujamba sina cha kufanya, ila kutolewa udenda hiyo haitatokea.
 
Kima nyie mkichimba dawa msituni mnaweka wapi haja zenu mnajifanya wastaarabu kumbe mnatembea na vinyesi tumboni
Utashangaa wanavyolalamika. Ila hamna ishu inaboa km gari ishakolea road afu mtu mzima anaomba kujisaidia hivi huwa hawawezi kujikontrol hasahasa kunywa vinywaji kwa kiasi. Bora hata wewe unayechukua maamuzi ya kuuhifazi kwenye chupa.
 
Piga keleleeeeeee
 
Hahaaaa....aseee nimecheka kufa
 
Mbona Hanna haja,akikojoa si utafariki kabisa,labda anaumwa je,?.unamjua ?haya unampiga kesho unakuta ndie uliyekuwa unamfuata kwa shida yako,vinginevyo si ununue vx ujimbambafai,acha hizo ebo!
 
Wee jamaa unapenda ugomvi si kwa kumseti mwenzio hivyo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahhaah eti na mke wako bonge

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Sema ulikuwa ni wewe tu rafiki πŸ˜€πŸ˜€. Unabahati lijamaa lingejuchapa makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…