Ni Adhabu ipi kati ya hizi zifuatazo zinamfaa mno Abiria wa Mabasi yaendayo Mikoani ambaye hupenda Kukulalia, Kukutemea udenda yake na hadi Kujamba?

Kuna wanaoigiza na wanaolala kweli ,kuna jamaa city ya watu watatu yeye mimi dirishani,demu wangu yupo kati halafu yeye city ya pembeni,akaanza kulala kwa kuweka kichwa kwenye manyonyo ya dem wangu,demu wangu akisogea na yeye anajiachia ndo analala,nikamwambia dem njoo kaa dirishani mi nikae kati,nilipokaa kati akazuga tena kama dk 5 kulala bila kuegesha kichwa halafu hakulala tena
😅😅Alipata sofa ya nono
Sasa aendelee kulala kwenye bega gumu..
 
Ukutane sasa na mama mwenye mtoto,utasikia nenda basi uncle akubebe,mi namwombaga konda anahimeshe city kama ipo
watu wanavurugwa Sanaa na wahivyo wanakuwa na usingiz mzito anaeza alale mpk mwsho wa safari.
 
Ukutane sasa na mama mwenye mtoto,utasikia nenda basi uncle akubebe,mi namwombaga konda anahimeshe city kama ipo
😅😅watoto ni baraka bhn ila asikojoe tu na asiwe mchafu
 
Inategemeana na mtoto yupoje,kuna watoto wa watu waliostaarabika hata mtoto ni msafi hasumbui unafurahia kumbeba,kuna watoto wachafu ukimbeba na wewe unachafuka maana mara akae chini ,mara alie kwa kelele watu wote kwenye basi macho kwenu
[emoji28][emoji28]watoto ni baraka bhn ila asikojoe tu na asiwe mchafu
 
Inategemeana na mtoto yupoje,kuna watoto wa watu waliostaarabika hata mtoto ni msafi hasumbui unafurahia kumbeba,kuna watoto wachafu ukimbeba na wewe unachafuka maana mara akae chini ,mara alie kwa kelele watu wote kwenye basi macho kwenu
haha wanajua wew ndo baba wa mtoto wanawasikiliza nyie tu.
 
Kati ya hizo zako labda ya kwanza...

Ila Mimi huwa nafungua dirisha mpaka mwisho maana huwa nasafiri na lile kopo LA maji LA lt1.5 namwaga Lita nzima ya maji kisha naweka k vant kubwa ni mwendo wa kugonga kinywaji kikiisha narudia tena mpaka nafika mwisho hivyo upepo haunistui

Mkojo huwa nakojolea kwenye kopo kisha nautupa njiani
NB sio vizuri kusafiri ukiwa umelewa in case ikitokea ajali

Ila safari huwa fupi sana ukiwa liquid
kumbe wewe ndo unaechafua mazingira njia nzima mtu unasafiri unaona vibobo njiani.huo ni uchafuzi wa mazingira
 
Watu wa hivo wanakera sana,mtu ananunua ndizi maganda anayatupia kwenye lami,akimaliza kula chips anatupia nje mfuko
kumbe wewe ndo unaechafua mazingira njia nzima mtu unasafiri unaona vibobo njiani.huo ni uchafuzi wa mazingira
 
Sijawahi kusafiri na watu wa hivyo ala ikijakutokea namchana tu kistaarabu.

Ila kuna siku nilikuwa naenda arusha kufika katesh wakapanda sijui ni wamangati wale, ile harufu waliyokuwa wanatoa sijapata kuisikia tena.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Mimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.

Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.

Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.

Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu.

Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua

Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, in umeninyonya mpaka nimekojoa"

Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
Hahahaha nimecheka sana mkuu
 
Huwa ninapohisi kuegemewa tu ninamuamsha. Huko kujamba sina cha kufanya, ila kutolewa udenda hiyo haitatokea.
 
Kima nyie mkichimba dawa msituni mnaweka wapi haja zenu mnajifanya wastaarabu kumbe mnatembea na vinyesi tumboni
Utashangaa wanavyolalamika. Ila hamna ishu inaboa km gari ishakolea road afu mtu mzima anaomba kujisaidia hivi huwa hawawezi kujikontrol hasahasa kunywa vinywaji kwa kiasi. Bora hata wewe unayechukua maamuzi ya kuuhifazi kwenye chupa.
 
Kati ya hizo zako labda ya kwanza...

Ila Mimi huwa nafungua dirisha mpaka mwisho maana huwa nasafiri na lile kopo LA maji LA lt1.5 namwaga Lita nzima ya maji kisha naweka k vant kubwa ni mwendo wa kugonga kinywaji kikiisha narudia tena mpaka nafika mwisho hivyo upepo haunistui

Mkojo huwa nakojolea kwenye kopo kisha nautupa njiani
NB sio vizuri kusafiri ukiwa umelewa in case ikitokea ajali

Ila safari huwa fupi sana ukiwa liquid
Piga keleleeeeeee
 
Mimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.

Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.

Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.

Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu.

Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua

Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, in umeninyonya mpaka nimekojoa"

Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
Hahaaaa....aseee nimecheka kufa
 
Unakuta unasafiri Umbali mrefu sana kama wa kutoka Mkoani Dar es Salaam na kwenda zako Mkoani Kigoma halafu unajikuta umekaa Siti moja na Abiria ambaye huwa ana tabia zake za Kipuuzi Kipuuzi tu ambapo Usingizi ukimshika atakuegamia na kuanza Kukulalia na hapo hapo akikulalia ataanza Kukutolea Miudenda yake na Valvu yake ya Matakoni itaachia na atakujambia vilevile.

Je, Mzukulu nikikutana na Abiria Mpuuzi Mpuuzi kama huyu nikimpa Adhabu moja kati ya hizi nitakuwa namkosea au namuonea?

1. Nikiona amenilalia tu namwacha Usingizi umkolee kabisa kisha nafyatuka haraka ili ajigonge katika Siti ya mbele aumie akome
2. Nikiona amenilalia tu na kaanza Kunitolea Maudenda (Mate) yako nivumilie na tukifika sehemu ya Kula anifulie Nguo yangu
3. Nikiona amenilalia tu kwa Kuniegemea, Kunidondoshea Maudenda yake na Kunijambia nimzabe Kofi/ Kibao kimoja takatifu

Tafadhalini nichagulieni Adhabu moja tu hapo juu kwani nahisi Siku si nyingi nitasafiri Safari ndefu na najua haya Mauzauza nitakutana nayo tena.
Mbona Hanna haja,akikojoa si utafariki kabisa,labda anaumwa je,?.unamjua ?haya unampiga kesho unakuta ndie uliyekuwa unamfuata kwa shida yako,vinginevyo si ununue vx ujimbambafai,acha hizo ebo!
 
Mimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.

Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.

Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.

Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu.

Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua

Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, in umeninyonya mpaka nimekojoa"

Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
Wee jamaa unapenda ugomvi si kwa kumseti mwenzio hivyo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya usafiri yanakera sana

Kuna siku nilipanda bus na jimama lineneee halafu lina watoto watatu kwa makadirio umri wao ni kati ya miaka miwili mpaka minne, lile mama likagoma kuwalipia siti, likasema litawapakata, yaani basi ilitembea hata robo kilomita bado likaanza kukafosi kale kakubwa kakae katikati yetu(kumbuka lenyewe ni libooonge halafu katoto kakae katikati, can you imagine? halafu lenyewe liko upande wa dirishani) nikajikuta bila kupenda nimekaa tako moja kwenye seat kama vile nililipa nauli nusu, mbaya zaidi tuliposogea mbele kidogo nikapewa na kale kadogo nikapakate.

Nauli umelipa yoote, seat unakaa tako moja halafu juu umebeba mtoto, mbaya zaidi kale katoto kakanikojolea aiseeeee! ukiwa na hasira za karibu utaonekana mbaya, nikajikuta nimekua baba wa watoto watatu na mke wangu bonge
Hahahahhaah eti na mke wako bonge

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka siku moja nilipanda basi kwenye zile siti za watu watatu tulikuwa wanawake wawili mimi dirishani huyo Mama katikati na jamaa mmoja pembeni.

Basi yule Mama weee kila akisinzia anamlalia yule jamaa halafu ikitokea kashtuka eti anamuomba radhi. 😀😀😀 Jamaa hata hakuwa anamjibu anamuacha tu mana alikuwa amenuna huyo na ukiangalia hana jinsi ya kumkwepa.
Sema ulikuwa ni wewe tu rafiki 😀😀. Unabahati lijamaa lingejuchapa makofi
 
Back
Top Bottom