Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Nani kakuambia anatoa milioni 5? hatoi laki 2 ambayo mond ndiyo anataka atoe. next time mshaurini mtu wenu akumbuke kuvaa kinga kama hataki kutoa huduma.
Kwani huyo Hamisa anataka shilingi ngapi toka kwa Diamond?!

Ashauriwe kutumia kinga kwanin alishindwa kutoa matunzo?! Angeshindwa kutoa matunzo angeweza kutoa 70K per day wakati wa ujauzito?! Si upumbavu wake mwenyewe ndo maana watu wakamchenjia!!! Kakutana na wajinga wenzake akadhani angeweza kuchukua nafasi ya Zari kumbe mwanaume yeyote anakuwa na mahali aliko committed bila kujali kama amefunga ndoa au hapa!!!

Narudia, weka hapa mchanganuo wa 5M!!
 
Wewe ngoja tu nikuache toa povu ukimaliza relax.

ila mond ndiyo huyo keshapelekwa mahakamani, na hela itakayoamuliwa na mahakama atatoa hamtaki andamaneni[emoji23][emoji23][emoji23]

Bye maana sitokujibu tena , ngoja nisikilize halelujah!!!
 
Wewe ngoja tu nikuache toa povu ukimaliza relax.

ila mond ndiyo huyo keshapelekwa mahakamani, na hela itakayoamuliwa na mahakama atatoa hamtaki andamaneni[emoji23][emoji23][emoji23]

Bye maana sitokujibu tena , ngoja nisikilize halelujah!!!
Simple and clear, umeshindwa kujibu!! Btw, anayetoa povu ni mimi au wewe unayelilia Hamisa apewe 5M wakati hiyo thamani ya 5M hana!!!!!
 
Millioni 5 matunzo ya mtoto au huyo hamisa ni kichaa,kwa uwezo upi wa chibu ampe 5m
 
Nimeona nikujibu sababu ume - edit hii comment yako, yes ni hiyo ID yako niliiona.
 
Aipo hiyo milioni tano ni Pesa nyingi na haipo hiv hawa wanawake mpaka hapo kishatengeneza chuki na familia ya mond usitegemeee kama atasaminiwa kama awali ,pili uwezi kwenda kumshtaki mwenzio mahakamani kisa Mtoto kwani wewe kumbuka Ka shags tengeneza uhasama
 
Nimeona nikujibu sababu ume - edit hii comment yako, yes ni hiyo ID yako niliiona.
Nime-edit hiyo comment ya kukubishia, au?! Unaweza kuniambia huo mjadala ulikuwa lini hapa JF?!
 
Huyu mtoto anakula kuliko watu wazima 100 ndio mana anatumia 5m
She's very funny! Tanzania take home ya TZS 5,000,000 hata waziri hafikishi lakini Hamisa anataka hiyo iwe ni kwa ajili ya matunzo ya mtoto peke yake!!!

Sidhani kama anafahamu kwamba hiyo ni take home ya senior managers wa makampuni makubwa! Kwahiyo, senior manager mzima na familia yake anaishi happily na take home ya 5M and sometimes less lakini kwa Hamisa, eti hiyo ni pesa ya matunzo ya mtoto mmoja!!!
 
Milioni tano?? ? Maisha haya haya ya kibongo na pia kwa status ipi? Labda za kumtunza shetani ila kama ni mtoto hapana kubwa.
 
Ivi ikitokea bahati mbaya mtoto uyu akafariki wakati kesi ikiendelea, ataweka wap sura yake uyu bint? Tusimsaau mungu binadam ni wa mungu hawawezi kua mtaji.
 
Huyo mama akili hana anamdai 5m matunzo,hapo kakutana na mabush lawyer hawa wadangaji huwa hawana kazi.chibu nae wanawake wamejaa anakimbizana na hawa wauzaji wa mjini
 
Cyo kama hana hiyo pesa bali alipanga amkomoe tu maana ni kama kamdhalilisha jamaa so na yeye hawezi kukubali unyonge nilazima amuoneshe undava milion tano sipesa ya maji ya kunywa tu hawezi kusgindwa ila kamuamulia tu kumkomoa na hata ningekuwa mimi
 
Mtoto anatumia zaidi ya tzs. 150,000 kwa siku, je akikua so irakua 300,000?
 
Pamoja na hayo malezi ya mtoto hayahitaji milioni 5 kwa mwezi kama alitegemea kuvuna ameula wa chuya.

Alisema anatoa 70 per day so he is capable na kingine ukute hamisa anajua south zinapelekwa kias gani ndo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…