unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Hamissa mjanja sana anajua mond hawezi kukubali kulipa hiyo hela hata mahakama haiwezi kukubali ilo ila itashushwa na ikishushwa haiwezi kua chini ya milioni 1 kwa mwezi, hata mahakama wanaangalia kipato cha baba...huwezi kuwa kwa mwezi baba unapata milion 10 au 20 halafu mtoto umpe laki 2 kwa mwezi hiyo ilikua zamani.
Kipato cha baba hakuna uhakika. Kina umri na pia kuchuja. So hapo haiwezekani ,na Hamisa anaonekana kenya na mtoto hana hata miezi 6. she has no qualities of a good Mother. Na ana watoto 2 kwa wazazi tofauti. So asipoangalia anaez kuula Wa chuya