Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, ....
Wewe unaosema milioni tano ni hela ndogo huna uelewa na masuala ya pesa..Diamond hajakosa milioni tano lakini anayo mambo ya msingi zaidi ya kufanya na hiyo milioni tano kuliko kwenda kuitupa kwa Gold digger anayetumia kivuli cha mtoto ili kumchuna baba wa mtoto...Think brother....Acha kuwa na akili iliyolala..Ndo nyie ambao mnapenda kuishi nje ya uwezo wenu na mkiona mtu mwenye nazo anathibiti pesa zake zisipoetee kijinga jinga mnaita ubahili wakati matajiri wanaita financial management..
 
hivi inakuwaje unatoa 5m ,siku unamtembelea mwanao unamkuta anakula chakula cha magengeni ,chini ya mkeka uliotoboka, mazingira duni ukilinganisha na hela unayotoa?
 
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Wewe unayeona ni aibu, hebu tuwekee hapa mchanganuo wa Sh.5000,000 kwa mwezi kwa mtoto mmoja!!!!

Tanzania hii inafahamika wazi kwamba, baba anayepokea mshahara wa Sh. 5000,000 basi atakuwa ni miongoni mwa baba ambae familia yake itakuwa inaishi maisha safi kabisa.... familia mzima, itaishi vizuri kwa 5M!!!

Sasa ndugu, tupe huo mchanganuo wa pesa inayoweza kuhudumia familia mzima vizuri sana lakini hii leo ionekane hiyo inatosha kwa mtoto mmoja tu!!!!
 
Hamissa mjanja sana anajua mond hawezi kukubali kulipa hiyo hela hata mahakama haiwezi kukubali ilo ila itashushwa na ikishushwa haiwezi kua chini ya milioni 1 kwa mwezi, hata mahakama wanaangalia kipato cha baba...huwezi kuwa kwa mwezi baba unapata milion 10 au 20 halafu mtoto umpe laki 2 kwa mwezi hiyo ilikua zamani.
Kupata 1M ni ngumu, labda 500K! Lakini hata ikiwa 1M, unadhani itafanana na zile ambazo angekuwa anazinyonya kimya kimya kabla hajaamua Instagram iwe ndiyo mahakama ya suala lao?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wamechachamaa huum
Ndo muache kufungua zipu zenu ovyooooooo
 
Diamond, tell you what..???
Umechelewa saana ,its high time urudi kwa MOLA wako kama yule Gwiji la taarab alivyofanya.
Kupanda kwako au kuanguka kwako kunatokana na MOLA wako.
 
Huyu binti anawashauri wabaya mno ,,sijui hana watu wenye busara around wamshauri mwisho wa siku wote ni wazazi tuu ,,apo ataambulia elfu 3000 kwa siku, kwa muenendo huo wa kujifanya victim wakati anajua mipango yake vizuri sana
Mange kimambii mshauri wake pia
 
Milioni 60 kwa mwaka!!! Hivi huyo baby DP anakula chakula gani vile chenye gharama kubwa kiasi hicho!?
Alisema anatoa 70 per day so he is capable na kingine ukute hamisa anajua south zinapelekwa kias gani ndo maana
 
5m kwa mwezi ni nyingi sana hata kama anao uwezo........Bora angesema laki 6 na kumkatia bima ya afya.
 
Dai hashindwi Ila nadhani anamkomoa tu Hamisa. Na Hamisa angekaa kimya pengine Diamond angezidisha kiwango Mwenyewe
 
Back
Top Bottom