Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa mshahara maana yake hiyo ni take home na sio Gross.Hapo analingana na mwenye mshahara wa takriban Million 8 hivi.Mshara wa mil5 ni wachache wanoupata
Sio mtoto, nina watoto.Mkuu hivi una mtoto?
Alipe ndio.Unadhani atalipa 5 mil?
Kila baada ya siku 30
Mzee mwenye majibu tata[emoji23][emoji23]au ya Zimbabwe ??
Be seriousNdo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Au Dudu baya.Daaaaaaah angezaa na hamorapa angedai hizo fedha jaman
Anataka kufungua duka nn?Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.
Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.
Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.
Naona hauzijui vizuri sheria za nchi na katiba yake weweee... Hata kama mondi angekuwa ni Bill Gates, iyo kesi akishindwa atahukumiwa na kuambiwa alipe matunzo ya mtoto kulingana sheria zilizopo... Na iyo ela mkuu haizidi elfu 80kwa mweziHamissa mjanja sana anajua mond hawezi kukubali kulipa hiyo hela hata mahakama haiwezi kukubali ilo ila itashushwa na ikishushwa haiwezi kua chini ya milioni 1 kwa mwezi, hata mahakama wanaangalia kipato cha baba...huwezi kuwa kwa mwezi baba unapata milion 10 au 20 halafu mtoto umpe laki 2 kwa mwezi hiyo ilikua zamani.
Kwani anawabaka? Si wanachanua wenyewe... Changu wa kawaida anafanya bizness unampa chake mnamalizana.... Ila changu mchafu wanashobokea majina makubwa na masuperstar.... Majizo kidogo mstaarabu, this tym kakutana na mtoto muhuni wa tandale.... Vyuma vimekazachangu mchafu ni huyo diamond anaetomba kila mtu
Unasema nini wewe? Pole hebu fuatilia kidogo basi huko mahakamaniNaona hauzijui vizuri sheria za nchi na katiba yake weweee... Hata kama mondi angekuwa ni Bill Gates, iyo kesi akishindwa atahukumiwa na kuambiwa alipe matunzo ya mtoto kulingana sheria zilizopo... Na iyo ela mkuu haizidi elfu 80kwa mwezi
Iwe isiwe ila milioni 5 Kwa mwezi.hizo ni hela nyingi.unafanya mtoto kama mtaji wako. Kulipa anatakiwa diamond alipe ila sio Kwa milioni 5.hamissa inabidi na yeye ajitume.