Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

aisee mbona wana kazi sasa
hapo sana sana 200,000 kwa mwezi yamtosha tena nayo ni nyingi sana
 
Huyu mtoto atakuwa tofauti na watoto wa tandale au wakiafrika....MTOTO anatumia million tano kwa mwezi????kwa mwaka million sitini!!!
Walah mtumee!!! Hiki ni kiinua mgogo cha MTU mkubwa sana serikalini aliyetumikia kwa miaka thelathini Utumishi. Huyu MTOTO atakuwa anakunya MAYAI na sausage... Siyo mavi ya kawaidaaaaa
 
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.

Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.

Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.

Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.
Anataka kufungua duka nn?
 
Maisha yetu ya kimaskini ni tatizo kubwa.. Huyu demu anataka kumalizia matatizo yake kwa jamaa kweli umaskini hatareee
 
Kama alijifanya mjanja azae na Diamond ili siku ya siku amlazimishe awe anampa hela nyingi ili umaskini uishe kwao imekula kwake, unaamua kuzaa na mtu kwa faida ya kutaka uwe unapewa hela unayotaka hii akili ya kijinga kabisa, amejiingiza kwenye u model anafikiri ni rahisi au kuna pesa za bure, aende akasome aendelee kutafuta hela kwa jasho lake kama atazipata, kila mdada ninayemsikia mwenye tabia kama hizi za tamaa akifikiri atatoka kimaisha lol itakula kwake, pesa ni yakwako unayoitafuta kwa jasho laki si vinginevyo. yupo mmoja Mwanza pale Nyamagana alinichezea hivyo hivyo na kosa nlilofanya nilikuwa naagiza gari naandika kwa jina lake namuachia anaitumia kwa muda wote sasa akaona aniwekee mtego lol nilimzaba nikaishia zangu tabia mbofu kabisa. swala hili ni la makubaliano si vinginevyo. si kwamba Diamond hana iyo pesa anataka amuonyeshe kuwa anachokitafuta hata pata maana hata hao wanasheria wake mtampigia hesabu ya kipato kwa vipi nani anayejua ukweli kuhusu kipato chake, nani mwenye uwezo wa kumpa hesabu ya kipato chake hakuna imekula kwake ataambulia aibu tu.
 
Hamissa mjanja sana anajua mond hawezi kukubali kulipa hiyo hela hata mahakama haiwezi kukubali ilo ila itashushwa na ikishushwa haiwezi kua chini ya milioni 1 kwa mwezi, hata mahakama wanaangalia kipato cha baba...huwezi kuwa kwa mwezi baba unapata milion 10 au 20 halafu mtoto umpe laki 2 kwa mwezi hiyo ilikua zamani.
Naona hauzijui vizuri sheria za nchi na katiba yake weweee... Hata kama mondi angekuwa ni Bill Gates, iyo kesi akishindwa atahukumiwa na kuambiwa alipe matunzo ya mtoto kulingana sheria zilizopo... Na iyo ela mkuu haizidi elfu 80kwa mwezi
 
changu mchafu ni huyo diamond anaetomba kila mtu
Kwani anawabaka? Si wanachanua wenyewe... Changu wa kawaida anafanya bizness unampa chake mnamalizana.... Ila changu mchafu wanashobokea majina makubwa na masuperstar.... Majizo kidogo mstaarabu, this tym kakutana na mtoto muhuni wa tandale.... Vyuma vimekaza
 
Naona hauzijui vizuri sheria za nchi na katiba yake weweee... Hata kama mondi angekuwa ni Bill Gates, iyo kesi akishindwa atahukumiwa na kuambiwa alipe matunzo ya mtoto kulingana sheria zilizopo... Na iyo ela mkuu haizidi elfu 80kwa mwezi
Unasema nini wewe? Pole hebu fuatilia kidogo basi huko mahakamani

Naongea nina ushuhuda kuna mtu anatoa kila mwezi laki 5 baada ya mahakama kujiridhisha ana uwezo wa kutoa hiyo hela, yaani utembelee vogue huko halafu utoe 70 kwa mwezi?
 
Iwe isiwe ila milioni 5 Kwa mwezi.hizo ni hela nyingi.unafanya mtoto kama mtaji wako. Kulipa anatakiwa diamond alipe ila sio Kwa milioni 5.hamissa inabidi na yeye ajitume.

Hapana angezaa na mimi kapuku laki moja na nusu ingemtosha kwa mwezi lakini Diamond ana hadhi ya kimataifa na tajiri sana ,hivyo milioni 5 kwake sio kitu maana show yake moja tu analipwa milioni 100 na zaidi labda kama huwa anadanganya hapo ndo ataponzwa,kupitia kesi hii tutajua kipato cha kweli cha Dimond hahahahaha
 
Back
Top Bottom