Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Sasa aibu hapo inatoka wapi,million tano unaichukulia Poa. Si vizuri kufikiri watu wengine wana hela.
 
Cris brown kuna mwanamke alizaa nae (royality ) akasababisha mpaka akaachana na karuchi ,yule binti alitaka alipwe $16000 kwa mwezi, kwa ajili ya malezi ya mtoto, kesi imesikilizwa mwisho wa siku yule demu kalipwa $2500 kwa mwezi na cris brown pato lake kwa mwaka zaidi ya $15+m kwa mwaka sasa mdanganyeni na kwanza mahakamani mnadiscuss jinsi ya baba na mama, mtavyoshirikiana kumlea mtoto na si Baba kumlea mtoto.
 
amekuwa faru fausta? majizo anatoaga m5 coz na yeye ni tajiri
 
Chris Brown na maisha ya matawi ya juu analipa $2,500, hapo labda Diamond akomolewe tu, maana nchi hii sheria hazieleweki.
 
Kwani YULE WA MAJIZO anampa dh ngp? Akichanganya na za DAI hakosi BREVIS kila mwezi...ananunuwa show room
 
Hata kama napataa Mil 200 kwa show kwani show nafanya kila.sikuu..???? Kipato changu hakihusuuu...ntakupa pesaa tokana na sheria...qum...a sio mtajii jamaniii
 
Ss c amchukue MTT amtunze mwnyw..
Ni dhambi kumfanya MTT kitega uchumi
 
kuna issue muhimu watt wanalisahau katika mambo ya matunzo, mara nyingi huangaliwa uwezo wa baba wa mtoto. ila sherpa pia imeweka kiwango cha chini ambio ni laki mbili na haimanishi kuwa hata baba akiwa anauwezo mkubwa basi atatakiwa kutoa laki mbili tu.
 
H
kuna issue muhimu watt wanalisahau katika mambo ya matunzo, mara nyingi huangaliwa uwezo wa baba wa mtoto. ila sherpa pia imeweka kiwango cha chini ambio ni laki mbili na haimanishi kuwa hata baba akiwa anauwezo mkubwa basi atatakiwa kutoa laki mbili tu.
Hii ni bongo au developed countries?
 
Nasubiria hapo mahakama ije iseme diamond alipe laki mbili kwa mwez yule Malaya mchafu naona atakimbia insta ajifiche asionekane tena manake atachambwa mpk ajute na kila mwanaume atamvalia ndomu mnk 1 mistake ujue mahakama itakuhusu. Nashangaa wanawake wenxie sshv wanahangaika kutafta hela wanajiajiri wenyewe wanatafuta hela hawababaiki na hela za wanaume yy njaa imemkaba anashindana na mabossladies wkt watu wanamfahamu vzr kuwa kwao kuna njaaa hlf hakinaga akili kile milioni40 asioifanyia mtaji ameenda kufanya party wkt mwny party hayupo ukumbini angojee mondi amfungulie na yy kesi kuwa hamuangalii mwanae vzr kwahyo anamhitaji mwnyw amlee na laki mbili zikate kitakonda kitakosa hela za kujichubua kamalaya
 
Back
Top Bottom