Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Familia zenye kipata cha laki tano kwa mwezi watoto wanaozaliwa humo wanaishije.? Hebu muwe mnatumia hata akili kidogo. Serikali iliyoweka kiwango cha 70,000 kama kiwango cha chini cha kisheria kwa huduma za mtoto kwa wazazi waliotengana hawakuwa wajinga.
 
Na kwa yule mwingine anapewa ngapi????
Du inabidi mtoto wa tatu ategeshe kwa naniii
Atakuwa na uhakika wa 15m kwa mwaka...
 
Mimi wangu ananipa mia tano kwa mwezi, una lingine?
Pambana na hali yako sasa ya Diamond na Majizzo mbona unayajua sana na kutaka kuwapangia waishi vipi..Unataka Diamond atoe milioni tano anza na bwanako mwambie akupe milioni tano kila mwezi..😀😀😀
 
Pambana na hali yako sasa ya Diamond na Majizzo mbona unayajua sana na kutaka kuwapangia waishi vipi..Unataka Diamond atoe milioni tano anza na bwanako mwambie akupe milioni tano kila mwezi..😀😀😀
Sawa dada nimekusikia.
 
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Weeh jamaa nikajua akili yako inaendana na mwili wako kumbe hapana..!
 
Huyu ni mtanzania mwenye ubongo timamu........!!!!!
wewe mwanao anamaliza mil. 5 kwa mwezi.
 
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Naisi utakuwa gold digger
 
Asubirie katiba mpya pengine kutawekwa hiko kifungu cha milioni 5 kwa mwezi the Tanzanian record breaker gold digger!!
 
Haya si matunzo, anamfanya mtoto ni mtaji ... Hawezi kulipwa hela hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…