Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Mabetoo bhanaaa ndoo maana familia ya mondi inamchukiaa.. Hajielewiiii huyoo falaaa...qumaaa sio ajiraaa ilipwee mil 5...me ningetelekezaaa hata miaa sitoiii
 
Hamisa pumbaf... Eti milioni 5 kwa mwezi? Sheria inasema matunzo ya mtoto kwa mwezi ni laki 2 tu.. Hamisa kaona Chibu ni bank ya kuchota hela, mwisho kumpa ni laki 2 tu
 
Tshs 5,000,000/30days
=Tshs 167,000/= per day
Aisee, huyu mtoto anakula dhahabu au??
 
Manina hv huyu mtoto anaundiwa bajeti kubwa hv km Faru John au Fausta khaa! huyu Mobeto anatafuta kiki tena kwa pikipiki so anataka child support kubwa hvyo ili ajenge na kufanya maparty ya kukata na shoka au?Tumwelewaje Watz na Mashabik Wake ?ebu waje wanaojua Sheria ya watoto kuhsu Child support ya wazazi inavyokua au kwa mtu wa ustawi wa jamii atusaidie
 
Mtoto hata miezi miwili hajafika kesi mahakamani. Ndio tunatakiwa tuwe makini na haya marungu yetu. Mi siku hizi sitaki ujinga, nakaa hapo nakula bia yangu unanitolea mimacho wala sikuangalii, ndio kwanza naperuzi JF nyambaf. Mtatumaliza na hali yenyewe ngumu hii.
 
Hata km anamfanya Mtoto ni mradi sio kwa hela hiyo, huyo Mtoto anapewa matunzo gani hayo yanayogharimu 5m? Badala angeomba afunguliwe miradi Na kujengewa Nyumba kwa ajili ya huyo Mtoto anataka hela hajui hela bila plan sio kitu my be anaplan vinginevyo anapotezwa Na hao mashosti zake wanaomshauri apewe hiyo hela ili waiponde [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.

Kwahiyo chini ya m5 mtoto anakufa njaa?
Watoto wangapi budget yao kwa mwezi haizidi laki2 na hawafi?
 
Hamisa anataka awe na financial security kwa diamond. Haiwezekani kabisaa kwa milioni 5 yeye apewe labda laki 3 tuu. Maana kuna watu wanapata mishahara chini ya laki 3 na wanafamilia na kuishi vzr tuu.
Sasa yeye anageuza kuzaa na diamond kama mtaji wa kuendelea kuitwa mwanamitindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…