Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu


Kipato cha baba hakuna uhakika. Kina umri na pia kuchuja. So hapo haiwezekani ,na Hamisa anaonekana kenya na mtoto hana hata miezi 6. she has no qualities of a good Mother. Na ana watoto 2 kwa wazazi tofauti. So asipoangalia anaez kuula Wa chuya
 
Ndiyo milion 5.ni sawa kutokana na kipato chake. Si dangote bana. Na Abdul anahaki yakuishi kama wakina tiffa bana.
 
Mil 5 kwa mwezi?????
Kwa mtindo huu na mie nataka kuzaa na dai....
 
Yani mfano mm ndo mondi hlf yule mjinga angekua ametulia kimya hakuna anaejua nimezaa nae hata angesema ntk gorofa ningemjengea angesema ntk mtaji hata 200m unampa cz unaona huyu mwenzangu ana akili sasa ww umeonaapi demu anatangaza amekua mchepuko kwa muda wa miaka 9 ni mchepuko tu na Huyo majjizo Amewekwa mkononi hafurukuti
 
Kipato cha baba hakuna uhakika. Kina umri na pia kuchuja. So hapo haiwezekani ,na Hamisa anaonekana kenya na mtoto hana hata miezi 6. she has no qualities of a good Mother. Na ana watoto 2 kwa wazazi tofauti. So asipoangalia anaez kuula Wa chuya
Ameenda kutafuta hela sababu baba hamtumzi mtoto so acha atafute hela....huyo mond angetaka missa atulie amlelee mtoto wake basi angetoa huduma inayotakiwa na sio laki 2 kwa mwezi.

Kipato kikishuka basi haina shida ila si kwa sasa ambapo ni msanii anayelipwa zaidi na alie na hela zaidi kuliko wasanii wote.

Wanaume kama hamtaki kuhudumia watoto wa nje acheni kuzaa zaa hovyo, natamani single mother wangekua wanafanyia hivi wanaume ambao ni wabishi kulea watoto wao.
 
Naomba kufafanuliwa sheria inasemaje inapofikia wazazi kufikishana maakaman.Maakama inaangalia nn ili kumuamulu mzazi kutoa kiasi furan cha matumiz
Kipato cha mzazi.
 
Anatafuta mtaji. Milioni 5 kwa mwezi ndo anataka apatie na hela ya Photoshoot hapohapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eti Msanii mwenye hela nyingi mara ajiite Dangote, kumbe ni mbwembwe tu hana kitu.
Hata ungekua wewe usinglipa.
Kitoto kichanga kinawezaje kutafuna milioni tano kwa mwezi?
makopo ya maziwa s26 dozen moja haifiki laki tatu,ukiongeza nguo nam mambo mengine.
Ni dhahiri nia ya Hamisa kuzaa ilikua kuchuma tu,mtoto ni kisingizio,anamtia mikosi malaika wa mungu kwa kumsingizia anatafuna milioni 5 kwa mwezi!
 
DAAHH MILL5 KWA MWEZI KAAAA

LABDA WAMEKUBALIANA MALEZI YA HUYU MTOTO KWA MWAKA YAFANYIKE MAREKANI
 
Nilikubishia wapi?! Una uhakika hii ID uliiona wakati mnabishana kuhusu malezi ya hiyo mimba?!

Btw, ndo unataka kusema huyo Majizo anatoa Sh. 5,000,000? Anatoa 5M wakati huo analipwa shilingi ngapi?! Unaweza kuweka hapa mchanganuo wa matumizi ya Sh. 5M?

Acheni kugeuza watoto vitega uchumi vya watu wazima!!!
 
Nilikubishia wapi?! Btw, ndo unataka kusema huyo Majizo anatoa Sh. 5,000,000? Unaweza kuweka hapa mchanganuo wa matumizi ya Sh. 5M?

Acheni kugeuza watoto vitega uchumi!!!
Nani kakuambia anatoa milioni 5? hatoi laki 2 ambayo mond ndiyo anataka atoe. next time mshaurini mtu wenu akumbuke kuvaa kinga kama hataki kutoa huduma.
 
DIAMOND AACHE KULIALIA, MTOTO LAZIMA ATUNZWE KULINGANA NA KIPATO. KIPATO CHA MOND NI BN 1 KWA MWEZI
Kwahiyo kama baba ni Bakhera pesa ya matunzo iwe bilioni moja hata kama gharama za matunzo halisi ni laki 5?! Acheni tamaa nyie watu...

The problem watu mnakiriri... mkisikia celebrity fulani US anatoa dola elfu kadhaa wala hamuangalii mazingira ya mahusiano ya wahusika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…